Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,553
Mh!!!!!!
Isije kuwa ni kazi ya wana sayansi ya kujitegemea kutoka Rukwa!!!!!!
Mkuu, hiyo ni maombi yanajibiwa!
Mh!!!!!!
Isije kuwa ni kazi ya wana sayansi ya kujitegemea kutoka Rukwa!!!!!!
kama ulikuwepo siku ya kutoa tamko rasmi la chama juu ya kuvulia ubunge lema utakuwa una jibu sahihi, na kama umefatilia kilicho wapata wale wagawa sanda kule Lindi utakuwa na jibu...
sisi tuna Mungu, wao wana pesa.
Lema ana dhambi nyingi hawezi kuwa ndiyo chanzo cha yaliyomsibu mheshimiwa................a mere coincidence......Mheshimiwa lazima hiyo ya Lema siyo dhuluma ya kwanza ni mwendelezo wa dhuluma nyingi tu na zote kwa pamoja ndizo zinaanza malipizi yake kutoka kwa Muumba................
CDM JF wanashangilia kupooza kwa mtanzania mwenzetu, haohao wanashabikia mgomo wa madaktari unaolenga kupoteza maisha ya watanzania. Hiki ni chama chenye mapenzi na watanzania. Nakumbuka mpigania haki marehemu Chacha Wangwe aka Ras alipoingilia maslahi ya CDM 'mungu' wa akina crashwire akamshukia.
Mbona kuna uvumi amerest in peace?