Jacqueline Wolper arudi CCM

Jacqueline Wolper arudi CCM

Kwa sitaili hii ccm hawataweza kuwamaliza wasaliti.
 
kama anakachanulia mapaja kavulana ka miaka 20 atashindwa nini kutangatanga kwenye vyama..!!?
 
Hilo ndio tatizo la maskini huwa hawaaminiki mda wowote wanabadilika
 
Mbona anaongea kama kuna kitu anatumia kale kaunga kasembe!!!
 
Halafu huyu wolper hana akili .....anajua njaa ndio imemrudisha nyumbani halafu amesimama pale mbele anamsifia kikwete hajui kwamba hizi ni enzi mpya na kitabu Kipya. kama swala ni kumpenda kikwete si aende Msoga wakanywe nae chai. Ndio maana hakuna makofi aliyopewa. Yeye aseme tu kwamba amerudi ccm kwa kuwa chadema hakupata mabuzi yaliyonona...mpaka kurudi kwa harmonize kweli simba alifulia hadi akala majani.
Mbona mwenzake Wema aLiponea kwa msukuma kiroho safi!
Kikubwa tushajua ni ng'ombe aliyekatika mkia
 
Back
Top Bottom