Jacqueline Wolper arudi CCM

Jacqueline Wolper arudi CCM

Hata lowasa akihama leo ukawa watasema fisadi mwache aondoke lakin sasa hivi wanamsifia, jamani siasa hivi zinahitaji moyo.
 
Kwa maoni yangu kisiasa na hasa tunapoelekea 2020 naona swali lako halina tija kwa vyama vya upinzani. Halisaidii upinzani kujitathmini na kujiwekea mikakati mipya ili 2020 iwe na mafanikio zaidi. Afterall, mtu kuondoka chama ni haki yake ya kidemokrasia.

Lamsingi ni kuwa more objective na kujiuliza maswali magumu ya kwanini watu au mtu anaondoka kwenye chama...demotivation ni nini?? etc etc
Tena la msingi ni lile la kuona ya kwamba wale watu ambao katika uchaguzi mkuu wa 2015 tuliwaita makamanda na walikuwa tegemeo kubwa la kuiangusha ccm.
Je mbona makamanda wanatoka, kulikoni, nyumba imepoteza mvuto?
Je nyumba imepoteza ari na vugu vugu la vita ambavyo makamanda hawa walokuja kupigana?
 
"What do we do to a traitor?"-- Hotel Rwanda the movie
 
Bado Lowassa mwenyewe tu,kwani naye siku si nyingi mtasikia ametangaza kurudi nyumbani,amechoka kukaa ukimbizini.
 
Hujui madada poa wako Dodoma inawezekana kaenda kujitambulisha kuwa Niko Dodoma mafisi wamtambue
 
Back
Top Bottom