Ni kwenye hafla ya wasanii Dodoma
Kweli wapinzania wametikisika. Lol jack walper kabisa, kuhamia ccm, basi upinzania ndio kwa heri kabisa. Pumbavu!
Ni kwenye hafla ya wasanii Dodoma
Ni yule msanii mliyekuwa mnasema anajitambua kuliko wasanii wote kipindi kilee....!Akili za kitoto HIZO! Jackline Wolper ni nani katika siasa za nchi hii? Unakidhalilisha chama changu!! Wewe mtu wa maigizo au?
Anazimiaje wakati huenda wala alikuwa haangalii wala hajui kilichokuwa kinaendelea dodoma? Mambo mengine shirikisha ubongo
Wolper alibadili dini sababu ya pesa zilipoisha akarudia dini yake sasa yupo na dogo kaslimu tena huyo biashara kaziniMchumia tumbo if which namuunga mkono,mchaga ye pesa tu,hata kama CCK anajiunga tu
Wolper alibadili dini sababu ya pesa zilipoisha akarudia dini yake sasa yupo na dogo kaslimu tena huyo biashara kazini
Kapisa aiseeNi ngumu sana kufanya deal na Mtanzania mkafanikiwa
Kwa hiyo hawa watu ndio waliokufanya uandike kabisa uzi hapa jf kuwa upinzani utasambaratika Na ndio itakuwa mwisho wake yaani hawa wanachama hakuna hata mmoja aliyokuwa safu ya uongozi Wa chama mgana msindai akuwa Na cheo chochote mpendazoe huyu alikataliwa Na wanachadema huyo Jack yeye akuwa Na cheo chochote ndani ya chama sawa Na wanachama wenu wengi Wa ccm wanavyokuja upinzani VIP mbona sijasikia mkizungumzia ya ushindi Wa Zanzibar au Zanzibar hamkushindaNikikumbuka alivyo mpelekea Lowasa keki nabaki kucheka tuu.
Au usagaji na najua ninachokisemaWasanii wengi wa kike bongo wanasukumwa na nguvu ya ukahaba