Jacqueline Wolper arudi CCM

Jacqueline Wolper arudi CCM

Watu kwa kujifariji bhana..punde tu mmeshamgeuka wakati nyinyi ndio mlimsifia kwa ile hotuba yake mliyoita ya kihistoria pale Kijitonyama Millenium Tower katika Kongamano la Wanawake wa CHADEMA.. imekuwa sizitaki mbichi hizi..
Tunahoji tu......!!

1469446236270.jpg
 
Ameona pesa zimekata...huyu si ndio alikuwa dalali wa wenzie...anasubiri 2020 aanze kucheza tena karata yake
 
Watu kama hawa ndo nasema hatuwahitaji ndani ya chama cha siasa. Hawana msaada wowote ndani ya chama. Hawawezi kutoa mawazo ya kukijenga chama. Wanachosubilia ni kutaka chama kiwape nafasi ya kuvuna. CCM kama chama kikongwe nisingetegemea kiwape hata nafasi ya kuzungumza. Ni bahati mbaya kabisa kwamba eti nao wanapewa airtime. Hebu sikiliza alichoongea sasa!

Kweli mkutano mkuu wa chama unaweza kuruhusu watu kama hawa kuzungumza? Hapo ndo CCM inapoanguka. Mkutano mkuu ni brain ya chama. Unaalika mtu kujenga kusema fulani nampenda sana! sana!
 
sasa huyu anabadilisha wanaume kila kukicha itakuwa chama
 
Hivi watz kumbe hatuna mengi yakufanya! Huyu mama kutoka na kuingia kwake kuna matokeo yeyote ya maana?
 
Kati ya midemu isiyojielewa limojawapo ni hili LICHAGA, ....Yaani linaweza likamkana hata mama ake mzazi!
 
Back
Top Bottom