Wewe Lizabon, Lukuvi anakutafuta kwa yale maneno uliyokunya humu jfAkirudi msaliti mtampokea?
noma sanaMsanii nguli wa filamu nchini muda huu katika hafla ya wasanii ya kumuaga Mwenyekiti Mstaafu Mh. Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kurejea CCM.
"Nilipotea kwenda kule, nimeamua kurudi nyumbani".
Karibu nyumbani uungane na wenye akili, maisha na maendeleo yapo huku, kule kuna chuki, fitina, uzandiki, majungu na kundi la majobless wenye roho mbaya.
Karibu nyumbani uonje raha ya utu.
Tuwaulize kwanza wale wa Dodoma kama wamepokelewa.Akirudi msaliti mtampokea?
Mwenzio ana 80% ya mshahara PM aliyepo madarakani. Nabado ana mabiashara ambayo viongozi wote senior wa CCM wananayo ingawa ni siri.Hahahaha Lowasa atazimia kabisa....
ndio nani huyo?Msanii nguli wa filamu nchini muda huu katika hafla ya wasanii ya kumuaga Mwenyekiti Mstaafu Mh. Jakaya Kikwete ametangaza rasmi kurejea CCM.
"Nilipotea kwenda kule, nimeamua kurudi nyumbani".
Karibu nyumbani uungane na wenye akili, maisha na maendeleo yapo huku, kule kuna chuki, fitina, uzandiki, majungu na kundi la majobless wenye roho mbaya.
Karibu nyumbani uonje raha ya utu.
Anatosha sana.. Km s ktu mbona mlkua mnamtumia? Nny tushawazoea ata dr slaa alvotoka mlsema et n nan kwa ukawa. Sasa subr huyu anaegombea uenyekt wa pwan arud useme tena et n nanAkili za kitoto HIZO! Jackline Wolper ni nani katika siasa za nchi hii? Unakidhalilisha chama changu!! Wewe mtu wa maigizo au?
Chanzo ni gazeti la MwananchiWatu wa nyumba hii! sijaona hata mtu mmoja akiuliza chanzo cha khabari hii!
tutampokea tu kwasababu chadema hatubagui hata Yesu bado anampenda Yuda na alikuja kuwakomboa wenye dhambi. Tukishika madaraka hata wewe hatutakuwa na kinyongo na hatutalipiza kisas. Nia kuu ya Chadema chini ya Rais wa mioyo ya watanzania wote mzee Ngoyai ni kuleta mabadiliko ya kweli na ya dhat katika kujenga mustakabal thabit na nguzo imara katika taifa letu kwa kuleta wigo mpana katika nyanja tofaut za maendeleo kwa maslahi mapana ya taifa letu. ONE DAY YES!Akirudi msaliti mtampokea?