Jacqueline Wolper arudi CCM

Jacqueline Wolper arudi CCM

e3329682e811c63be34d00298f2561d3.jpg
 
SEPTEMBER 2015,

Nyota wa filamu nchini, Jacqueline Walper Massawe ‘Wolper’ amemchana staa mwenzake, Chuchu Hans kufuatia kutofautiana kiitikadi kisiasa kati ya chama tawala (CCM) na Ukawa.

Awali, Chuchu Hans na wasanii wenzie walitangaza kuhamia Ukawa (Umoja wa Katiba ya Wananchi) na kushiriki kikamilifu kwenye uzinduzi wa kampeni uliofanyika katika Viwanja vya Jangwani, Dar wiki iliyopita. Lakini ghafla, Chuchu alionekana akiwa amevaa sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutangaza kwamba ameamua kurudi nyumbani, kitendo kilichoonekana kumkera mno Wolper.

Wolper akizungumza na mwandishi wa habari hizi alisema “Sijui huu uzalendo wa Tanzania utakuja lini, yaani huyu Chuchu juzi tuwe wote na sare amevaa, leo umetusaliti kisa vijisenti. Sasa aliyemwambia kwamba UKAWA tunapewa hela ukaja na mbwembwe zote nani? UKAWA hatupewi hela, huku ni uzalendo tu. Wenye tamaa ya pesa ndio wanarudi CCM"

JULY 2016

Msanii wa Bongo Movie, Jacqueline Walper usiku wa leo ameamua kurejea Chama cha Mapinduzi na kumkimbia aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa.

Walper ambaye alizunguka mikoani kumnadi Lowassa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 amewaomba radhi wafuasi wa CCM akidai aliteleza tu pale alipoamua kukipigia debe Chadema kipicha hicho cha uchaguzi.
 
Kaitikisije chadema wolper akuwa ata Kiongozi Wa tawi sasa atakitikisije chama sasa MTU kama huyo Kabadili dini mara mbili kabadili wanaume na sasa kabadili chama usimshangae yeye alijua kuwa upinzani ni rahisi kuna vyeo kuna ela za kuongwa upinzani lazima ujikane wewe kwanza ukane posho ukane cheo ujue unapigania unachokiamini tu pasipo malipo malipo yako ni iman
 
Umesimama aliposimama Mbowe mkuu, damu damu ubarikiwe Sana, kaishiwa pesa huyo sasa anaenda ccm kutafuta mabwana wenye hela
 
Amefuata upepo kwa kusoma alama za nyakati. There is no permanent friend,but permanent interest
 
Kaitikisije chadema wolper akuwa ata Kiongozi Wa tawi sasa atakitikisije chama sasa MTU kama huyo Kabadili dini mara mbili kabadili wanaume na sasa kabadili chama usimshangae yeye alijua kuwa upinzani ni rahisi kuna vyeo kuna ela za kuongwa upinzani lazima ujikane wewe kwanza ukane posho ukane cheo ujue unapigania unachokiamini tu pasipo malipo malipo yako ni iman

Umeonge kitu kilichokua rohoni kwangu nilitaka kusema Kama ulivyosema wewe nashukru kuwa na mawazo mapana,
Ur greater thinker.
 
hahaha nicheke mie hahaa kaitikisa wapi huyu mwanamke ni mpuuzi mlevi na ni tabia yake hata dini alibadili kwa ajili ya dallas ... kiboko yake ni mkongo ndio limpa pete fekero akamla mpaka ndogo kisha akampora kila kitu....................
 
Labda kamtikisa mwanae Harmonize.
Wolper alikuwa na faida gani katika ujenzi wa chama?
Kutupia picha Instagram?
Bora mimi Nifah japo ni anonymous huku JF ila mchango wangu unaweza kuwa mkubwa kuliko huyo muuza sura.
 
Umeonge kitu kilichokua rohoni kwangu nilitaka kusema Kama ulivyosema wewe nashukru kuwa na mawazo mapana,
Ur greater thinker.
Mkuu kuna watu wapumbavu sana wao walijua upinzani ni kupata vyeo Na ela tu ndio tatizo awakujua ni kupigania unachokiamini tu siyo ela wala cheo
 
Kweli bongo movie yao ni maigizo baada ya kuwa mwanachama wa ccm na baadae kuhamia chadema, hatimaye jackline wolper arudi ccm tenaa.
 
Alianza kubadili DINI
Akabadili WANAUME
Akabadili CHAMA
Unadhani kinachofata ni nini apo........

1469445285088.jpg
 
Watu kwa kujifariji bhana..punde tu mmeshamgeuka wakati nyinyi ndio mlimsifia kwa ile hotuba yake mliyoita ya kihistoria pale Kijitonyama Millenium Tower katika Kongamano la Wanawake wa CHADEMA.. imekuwa sizitaki mbichi hizi..
 
Back
Top Bottom