SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,968
- 75,042
Hakuna shida ameenda kwa wasanii wenzake, ndege wa bawa moja huruka pamoja, hata hivyo alikuwa na mchango gani Chadema? Wacha afuate wafu wenzake
Uwezekano wa Uwezekano wa Slaa kurudi Chadema ni pale tu atapoondoka Lowasa ndani ya Chadema, La sivyo endeleeni kucheza Na ndoano yenu iliyokwama kooni.CHADEMA haijawahi kumfukuza slaa...akiomba kurudi tutatafakari
Kikwete mzee wa figisu figisuMpiga dili, this kind of pple ndio asiowataka magufuli. View attachment 370287
and who wants him by the way...let him perish wherever he isUwezekano wa Uwezekano wa Slaa kurudi Chadema ni pale tu atapoondoka Lowasa ndani ya Chadema, La sivyo endeleeni kucheza Na ndoano yenu iliyokwama kooni.
Tuliambiwa nchi itatetemeka hii.Angekuwa Tundu Lissu ningelia lakin huyu akwenderrrrrr
we binti unashindwa kufikiri, hivi unadhani hao wanaoondoka si kura zinaondoka?Wao waondokee bora kubaki na watu wachache kuliko wengi halaf wanafiki,alidhan atapewa vitimaalum?hello
Hana tofauti na kingunge, Lowassa, Sumaye na Mgeja.Akili za kitoto HIZO! Jackline Wolper ni nani katika siasa za nchi hii? Unakidhalilisha chama changu!! Wewe mtu wa maigizo au?
Duu akili za kuambiwa changanya na zako yaani Lowasa azimie kwa hao walengaji, wakiona sehemu watashiba wanaelekea huko,mtu kama huyo ni nini kwa hadhi ya CDM, ameondoka Slaa mwenye upeo no msomi sembuse huyo.Hahahaha Lowasa atazimia kabisa....
Wolper kila siku anavishwa lete na kuolewa haolewi ni msanii hadi kwenye mapenzi na huyo hermonize atachunwa mpaka akijakufungua macho mama yake atakuwa anabonyeza nokia obama na vijoti