Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Kama sikosei mama mercy alimwambia mengibkama unataka kuoa hiko kimwanamke chako basi tukubaliane utakua unanilipa dola elf 45 kwa mwezi. Hii ilikua komesha. baada ya mama kufariki mengi akajua ameutua mzigo kumbe na yeye safari ikafika. Muda utafichua kila kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
marehemu maza alikua mkuda balaa naona hata mwanae regina anapitia mulemule
 
Huyu si akae kimya aache mahakama ifanye kazi yake, yaani anajifanya ana uchungu na Mengi kuliko ndugu zake waliozaliwa tumbo moja, ukoo mmoja wanamjua nje ndani.

Huku naona kama anatafuta huruma na kuwapa faida wambeya.
Kati ya uliezaliwa nae tumbo moja na mkeo unafikiri mwenye uchungu na wewe ni nani?- ni mkeo na si ndugu zako labda watoto wako pia wanaweza kuwa na uchungu na wewe Ila kama katika maisha yako unawahesabia ndugu eti kisa mlizaliwa tumbo moja- pole. Labda kama unamali watakuthamini mwanzo mwisho. Familia yako ni mkeo na watoto wako hivyo hivyo ndugu zako familia yao ni wenza wao na watoto wao, familia uliyozaliwa ni ya kwenu na sio yakwako.
 
"Uliyetafuta naye kuni ndiye wa kuota naye moto"

Hao watoto wametafuta kuni na huyo mzee zaidi ya miaka 25 ,wamepita tabu,milima,mabonde,wameshare maumivu,huzuni furaha na baba yao miaka zaidi 25.Wametafuta shamba wakiwa na baba yao,wakafyeka,wakalima wakapalilia,wakavuna na wakaweka ghalani.

Leo hii unataka kuniambia anayeenda kubeba mazao ghalani ana uchungu kuliko hao watoto na aliyekuwa marehemu mama yao.

Huyo mke naye inategemea mmeanzia wapi,mtu kaja kipindi wenzake washavuna then ndio awe na uchungu.You're kidding me.

We cha msingi subiria maamuzi ya mahakama,huku kuongea kwake mitandaoni hakumsaidii wenzake wanafanya mambo yao kisomi.
 
"Uliyetafuta naye kuni ndiye wa kuota naye moto"

Hao watoto wametafuta kuni na huyo mzee zaidi ya miaka 25 ,wamepita tabu,milima,mabonde,wameshare maumivu,huzuni furaha na baba yao miaka zaidi 25.Wametafuta shamba wakiwa na baba yao,wakafyeka,wakalima wakapalilia,wakavuna na wakaweka ghalani.

Leo hii unataka kuniambia anayeenda kubeba mazao ghalani ana uchungu kuliko hao watoto na aliyekuwa marehemu mama yao?.

Huyo mke naye inategemea mmeanzia wapi,mtu kaja kipindi wenzake washavuna then ndio awe na uchungu.You're kidding me.
Nimeongelea kwa general view ya ulimwengu, sijaongelea upanda wa mengi na wakeze.
Anyway kwa upande wa mengi mwenye Mali ndo huamua nani apate. Anaweza amua nyima watoto wake akampa kimada ili hali kama aliandika wosia wa namna hiyo.
 
General view ya ulimwengu au Mtuzamo wako?

Hivi unazani watu wana amua amua tu?

We jiulize pamoja Mengi alikuwa na matatizo na marehemu mke wake,lakini bado kampuni zote zilikuwa zinashikiliwa na wanae,apo ndio uone Mengi anawaamini na kuwapenda wanae kuliko kitu chochote sababu anajua machungu waliyoyapitia ktk kutafuta mali.

Sizani kama Mengi aliamua hivyo sababu ukitizama ,Mengi aliwaandaa watoto wake tokea wakiwa wadogo waje kuendesha biashara zake sababu anajua hawata msaliti.

Mimi na kwambia siku zote sisi wanaume tuna waamini sana watu tulianza kutafuta nao,nina watu watatu na wafahamu wawili wanajeshi mmoja alikuwa jangili miaka ya 97 .Hawa wanajeshi wawili walikuwa na nyumba ndogo baada ya kustaafu wamerudi kwa wake zao mafao yao wamewapa wake zao na wote walizaa nje mmoja kishavuta na mali zake zote kampa mke mkubwa.

Sasa huyu jangili kesi yake inataka kufanana na Mengi alikuwa na mali nyingi mno nyumba magari,mabasi mashamba nk,yy naye alitengana na mke wake wa ndoa akaenda kwa nyumba ndogo,kazaa nae akamjengea Nyumba.

Wakati mzee anaumwa mke mkubwa alisikia akaenda kumuomba yule mke mdogo kwamba amwache basi amuuguze mumewe yule mke mdogo akakataa.

Siku mzee kavuta watu wakazika mzee kumbe ana mwanasheria wake ambaye wanandugu wanamfahamu,amesoma usiha pale mke mdogo na mtoto wake mwakaambulia nyumba wanayo kaa na magari mawili,mali nyingine zote kapewa mke mkubwa na wanawe,bi mdogo pale pale akazimia,kuamka wenzake washaondoka.

"Uliyetafuta naye kuni ndiye wakuota naye moto"

Tuiachie mahakama wao ndio wamuuzi wa mwisho.
 
Kwani mi nimekataa?! Nimesema ukiamua ukiamua UKIAMUA mwenye Mali unaangalia mtazamo wako, ndio unaamua bila kushikiwa bunduki wala kisu, hauhitaji ushauri wala shinikizo maana kitu ni cha kwako unampa unaetaka, ukipenda utumie ubinadamu au unyama wa kuwapa ndugu zako au kuwanyima ni wewe, wapo ambao mali zao zote huwaachia watoto yatima au watu wenye shida, hao nao pia huamua maana ni cha kwako, unaamua, haulazimishwi nini cha kufanya au nani wa kumpa.

Kama ulizitafuta peke yako maamuzi ni yako na kama ulizitafuta na mtu au na watu maamuzi ni ya wewe na Huyo mtu au watu.

Mengi alizitafuta na mkewe na hivyo mkewe alikuwa na share kwenye hizo mali na hivyo hakuwa na budi kuwa sehemu ya Mali. Kuwashirikisha watoto wake ulikuwa ni uamuzi wake kama ambavyo nimesema 'ukiamua' Mengi aliwashirikisha watoto wake kwa sababu of course ni watoto wake aliwapenda na aliwaamini lakini so kila tajiri huwashirikisha watoto wake au anawaamini watoto wake maana kuna visa kibao tu vya watoto na wazazi kusalitiana kisa Mali. Na si kila tajiri anapeleka Mali kwa mkewe alietalikiana nae eti kisa tu amezaa nae ukizingatia ukitalakiana na mkeo unampa chake na anakuwa hana haki tena na wewe na Mali zako .

Hivyo visa vyako mi pia na kisa cha mwanamume aliyemwachia mistress wake Mali zake zote bila kuwapa watoto wake hata shilingi MIA sababu Mali zilikuwa zake na wala hakushirikisha watoto wake kwenye biashara zake na mkewe walikuwa wameshaachana na hakua nahaki nae tena.Na aliandika mirathi akiwa hai akaithibitisha mahakamani na alipokufa mirathi ikafuatwa.
Hivyo mengine ni mtazamo na mila za Kiafrica na sio kwamba yanafuatwa na watu wote, cha muhimu sheria huangalia kipi ni cha haki na kipi sio haki. Na ni kutegemea na hali halisi ya kila tukio. Sio kila matukio ya Mali na mirathi yanafanana.
 
Regina noma hajifichi..kauzu zaidi ya dagaa

Hata ningekuwa mimi ningekuwa hivyo hivyo! Inaonekana hata salamu tu na Mjane hakuna! Na hivi ndio anashikilia usukani wa IPP kwa sasa! Hadi kesi ya Mirathi iishe atakuwa alishakipata cha moto maana haiishi leo wala kesho! Akomae tu kwenye furniture zake kwa sasa,ndoto ya kuwa “Mwenyekiti Mtendaji wa IPP” aisahau!
 
Kwani mi nimekataa?! Nimesema ukiamua ukiamua UKIAMUA mwenye Mali unaangalia mtazamo wako, ndio unaamua bila kushikiwa bunduki wala kisu, hauhitaji ushauri wala shinikizo maana kitu ni cha kwako unampa unaetaka, ukipenda utumie ubinadamu au unyama wa kuwapa ndugu zako au kuwanyima ni wewe, wapo ambao mali zao zote huwaachia watoto yatima au watu wenye shida, hao nao pia huamua maana ni cha kwako, unaamua, haulazimishwi nini cha kufanya au nani wa kumpa.

Kama ulizitafuta peke yako maamuzi ni yako na kama ulizitafuta na mtu au na watu maamuzi ni ya wewe na Huyo mtu au watu.

Mengi alizitafuta na mkewe na hivyo mkewe alikuwa na share kwenye hizo mali na hivyo hakuwa na budi kuwa sehemu ya Mali. Kuwashirikisha watoto wake ulikuwa ni uamuzi wake kama ambavyo nimesema 'ukiamua' Mengi aliwashirikisha watoto wake kwa sababu of course ni watoto wake aliwapenda na aliwaamini lakini so kila tajiri huwashirikisha watoto wake au anawaamini watoto wake maana kuna visa kibao tu vya watoto na wazazi kusalitiana kisa Mali. Na si kila tajiri anapeleka Mali kwa mkewe alietalikiana nae eti kisa tu amezaa nae ukizingatia ukitalakiana na mkeo unampa chake na anakuwa hana haki tena na wewe na Mali zako .

Hivyo visa vyako mi pia na kisa cha mwanamume aliyemwachia mistress wake Mali zake zote bila kuwapa watoto wake hata shilingi MIA sababu Mali zilikuwa zake na wala hakushirikisha watoto wake kwenye biashara zake na mkewe walikuwa wameshaachana na hakua nahaki nae tena.Na aliandika mirathi akiwa hai akaithibitisha mahakamani na alipokufa mirathi ikafuatwa.
Hivyo mengine ni mtazamo na mila za Kiafrica na sio kwamba yanafuatwa na watu wote, cha muhimu sheria huangalia kipi ni cha haki na kipi sio haki. Na ni kutegemea na hali halisi ya kila tukio. Sio kila matukio ya Mali na mirathi yanafanana.
Sasa nilikushangaa ulivyotumia IN GENERAL.Ngumu sana mtu aliyehangaika na familia yake kutafuta mali na watoto zake kawajenga ktk msingi ya kusimamia mali alafu awaache bila kitu ni NGUMU.

Ukitaka kujua yule mzee anawa amini na kuwapenda wanae,kipindi ambacho ana matatizo na mke wake lkn bado kampuni zake zote walikuwa wanazisimamia wanawe sababu anajua potential ya wanawe ktk Kuzisimamia na kuziendeleza mali zake.
 
Na kitu kingine huyu “Mjane” kama kweli Mzee alimwambia atamwachia kila kitu kwanini hakuanza kumwandaa mapema kabisa katika utendaji wa kila siku wa Shughuli za Makampuni ya IPP kama ilivyokuwa kwa wanae? Kwamba Mjane aliamini kabisa kutoka kwa ile Mirathi (naamini iliandikwa akiwa anashuhudia) atakuja kuwa Mmiliki wa Makampuni ya IPP kwa kukaa nyumbani tu huku Watoto wa Mzee wakiwa ni watendaji? Hakusoma alama za nyakati mapema Mzee akiwa hai!
 
Huyu Dada (Jack) akili hana, hv kwa akili za kawaida kabisa a nafikiri anaweza kuwafukuza watoto katika mali za wazee wao hali wao ndo wamekuwa wakurugenzi miaka nenda miaka rudi na mafanikio ya haya makampuni yanaonekana?

Na kwa akili zake zilivyo anakwenda kuanzisha duka la Funirture ambazo ni ghali hata mtu wa kipato cha Kati hawezi kuzimudu Sasa sijui target yake ilikuwa hakina nani? ndio mtu aone akili za huyu Dada...

Hata aibu haoni jamani... Wewe hata hizo Funirture zimekushinda mambo ya IPP utayaweza wapi hali mambo ya biashara huyawezi, Shule huna, uzoefu huna, hiyo miaka 9 na Mzee ulikuwa ni mtu wa kula raha na Mzee Badala ya kujifunza kutoka kwake jinsi ya run biashara kwa faida na aina ya biashara na nk...

Leo hii unataka kuwatoa wazoefu, wasomi, walio fanya hizo kazi na kuleta maendeleo, kukufanya wewe kwenda Dubai km una kwenda Kaliakoo.. Badala ya kukaa Karibu nao ili watoto wako waje wafaidike kwa kupewa ujuzi, elimu ili baadaye waendeleze mali za Mengi.. Wewe ndo unataka kuwafukuza akili gani hizi?

Wewe Dada km unapita hapa hakika mchawi wako ni huyu anayekupa ushauri wa kijinga na huku akiwa pembeni anakucheka... Kaa chini, kula matapishi yako nenda kwa Familia ya Mengi muongee muyamalize.

Hatakuwa na hela km ulizokuwa nazo kabla ya Mzee hajafariki lkn hutalala njaa na utakuwa na Amani moyoni wewe na wanao...
 
Nilicho-notice kwenye huu mjadala ni kwamba wanawake wote wako-against Jack!

Sijajua kama ni kweli wanasimamia HAKI au ni CHUKI,WIVU na HUSDA tu vimetawala kwa mwanamke mwenzao kama ilivyo kawaida yao.

BTW:Huo wosia ukikataliwa na mahakama kwa hoja hiyo ya "kitoto" itakuwa hakuna tena maana ya wanasheria kuendelea kuhamasisha watu kuandika wosia kama njia ya kuepuka migogoro ya mirathi.

Na hii reference itaumiza wanawake wengi mno watakaoachiwa wosia na waume zao hapo baadae.
 
Leo hii unataka kuwatoa wazoefu, wasomi, walio fanya hizo kazi na kuleta maendeleo, kukufanya wewe kwenda Dubai km una kwenda Kaliakoo.. Badala ya kukaa Karibu nao ili watoto wako waje wafaidike kwa kupewa ujuzi, elimu ili baadaye waendeleze mali za Mengi.. Wewe ndo unataka kuwafukuza akili gani hizi?
...

Moja ya ushauri bora kabisa kama kweli anawatakia Future ya uhakika watoto wake! Hii ya kuleakish Wosia mitandaoni halafu anaulizwa anasema ili “Watanzania wajue hata akifa watoto wake wapate haki” ilikuwa ni jibu moja la kijinga sana kutoka kwake!
 
[QUOTE="Karne, post: 34715722, member: 370176"
BTW:Huo wosia ukikataliwa na mahakama kwa hoja hiyo ya "kitoto" itakuwa hakuna tena maana ya wanasheria kuendelea kuhamasisha watu kuandika wosia kama njia ya kuepuka migogoro ya mirathi.
.[/QUOTE]

Karne Swala hapa sio ilimradi tu ni “Wosia” pana vigezo vinavyopaswa kukidhi wakati wa kuandika huo Wosia! Unadhani ni kwanini Mahakama iliweka uwezekano wa Mtu kupinga Wosia kama ingekuwa tu ukishaandika wosia unakuwa umemaliza kila kitu?
 
Nilicho-notice kwenye huu mjadala ni kwamba wanawake wote wako-against Jack!

Sijajua kama ni kweli wanasimamia HAKI au ni CHUKI,WIVU na HUSDA tu vimetawala kwa mwanamke mwenzao kama ilivyo kawaida yao.

BTW:Huo wosia ukikataliwa na mahakama kwa hoja hiyo ya "kitoto" itakuwa hakuna tena maana ya wanasheria kuendelea kuhamasisha watu kuandika wosia kama njia ya kuepuka migogoro ya mirathi.

Na hii reference itaumiza wanawake wengi mno watakaoachiwa wosia na waume zao hapo baadae.
Mkuu kwa wanawake hiki sio kitu cha kushangaza wanaomponda hapa hata wakati akiwa na Mengi walikuwa wanamsemaUkisoma between lines hata comments zimejaa chuki.Hii kesi kila mtu anavuta kwake ndugu wenyew hao nimeshangaa sana mzee kafa wanaomba usimamizi wa mali ilhali Regina na Abdiel wapo hai na ni watu wazima.
 
General view ya ulimwengu au Mtuzamo wako?

Hivi unazani watu wana amua amua tu?

We jiulize pamoja Mengi alikuwa na matatizo na marehemu mke wake,lakini bado kampuni zote zilikuwa zinashikiliwa na wanae,apo ndio uone Mengi anawaamini na kuwapenda wanae kuliko kitu chochote sababu anajua machungu waliyoyapitia ktk kutafuta mali.

Sizani kama Mengi aliamua hivyo sababu ukitizama ,Mengi aliwaandaa watoto wake tokea wakiwa wadogo waje kuendesha biashara zake sababu anajua hawata msaliti.

Mimi na kwambia siku zote sisi wanaume tuna waamini sana watu tulianza kutafuta nao,nina watu watatu na wafahamu wawili wanajeshi mmoja alikuwa jangili miaka ya 97 .Hawa wanajeshi wawili walikuwa na nyumba ndogo baada ya kustaafu wamerudi kwa wake zao mafao yao wamewapa wake zao na wote walizaa nje mmoja kishavuta na mali zake zote kampa mke mkubwa.

Sasa huyu jangili kesi yake inataka kufanana na Mengi alikuwa na mali nyingi mno nyumba magari,mabasi mashamba nk,yy naye alitengana na mke wake wa ndoa akaenda kwa nyumba ndogo,kazaa nae akamjengea Nyumba.

Wakati mzee anaumwa mke mkubwa alisikia akaenda kumuomba yule mke mdogo kwamba amwache basi amuuguze mumewe yule mke mdogo akakataa.

Siku mzee kavuta watu wakazika mzee kumbe ana mwanasheria wake ambaye wanandugu wanamfahamu,amesoma usiha pale mke mdogo na mtoto wake mwakaambulia nyumba wanayo kaa na magari mawili,mali nyingine zote kapewa mke mkubwa na wanawe,bi mdogo pale pale akazimia,kuamka wenzake washaondoka.

"Uliyetafuta naye kuni ndiye wakuota naye moto"

Tuiachie mahakama wao ndio wamuuzi wa mwisho.
Mifano uliyotoa ni mizuri hao walikuwa ni"vimada"hawakuwaoa waliwaficha.lakini huyu Jacky mzee akimficha? Kuna ambae alikuwa hajui anaishi na mzee?Huyo mzee na mke wake walitibuana since wayback. Habari za mwanzo zinasema Huyu mama Mercy alimuwekeaga Mengi sumu kwenye chakula akaokolewa na housegirl na ndio ikawa mwanzo wa ugomvi hatujui ilikuwa ni kweli au laa na pia taarifa za kuwa alikuwa ni mkorofi sana ndio maana walishindwana haya ni ya miaka mingi iliyopita?Inshort tuache mahakama itende haki that's all maana Mengi hakushurutishwa kuishi naye alienda mwenyewe!na kumzalisha na kumuoa aliamua mwenyewe
 
Nilicho-notice kwenye huu mjadala ni kwamba wanawake wote wako-against Jack!

Sijajua kama ni kweli wanasimamia HAKI au ni CHUKI,WIVU na HUSDA tu vimetawala kwa mwanamke mwenzao kama ilivyo kawaida yao.

BTW:Huo wosia ukikataliwa na mahakama kwa hoja hiyo ya "kitoto" itakuwa hakuna tena maana ya wanasheria kuendelea kuhamasisha watu kuandika wosia kama njia ya kuepuka migogoro ya mirathi.

Na hii reference itaumiza wanawake wengi mno watakaoachiwa wosia na waume zao hapo baadae.

Mwanamke hata Regina ni Mwanamke.. Swala hapa ni haki kwa wote iwe ni Mwanamke, mme au watoto.. Kila mtu apate haki anayostahili... Hv unaona haki kweli Jack kufukuza watoto wa marehemu ambao wana mchango makubwa katika mafanikio ya Mengi?
 
Muamuzi bora hapa ni mahakama. Maana Mengi angeacha wosia kwa watoto/mwanasheria wake wa siku zote possibility ya Jack kuumia ingekuwepo. Angewaachia ndugu wakina Abdiel, Regina na mke mdogo wangeumia. Mahakama itende haki watoto na mke mdogo wapate haki inayostahili.Maana kama baba mdogo sjui na nani hao wanaomba usimamizi wa mali za marehemu na Wakati watoto wapo na ni watu wazima ni wazi kuwa yeyote ambaye angepewa madaraka ya kusimamia hizo mali mwengine angeumia.
 
Nilicho-notice kwenye huu mjadala ni kwamba wanawake wote wako-against Jack!

Sijajua kama ni kweli wanasimamia HAKI au ni CHUKI,WIVU na HUSDA tu vimetawala kwa mwanamke mwenzao kama ilivyo kawaida yao.

BTW:Huo wosia ukikataliwa na mahakama kwa hoja hiyo ya "kitoto" itakuwa hakuna tena maana ya wanasheria kuendelea kuhamasisha watu kuandika wosia kama njia ya kuepuka migogoro ya mirathi.

Na hii reference itaumiza wanawake wengi mno watakaoachiwa wosia na waume zao hapo baadae.

Mnapaswa kuandika Wosia kutokana na Sheria na Taratibu za nchi usika, huo Wosia ukitenguliwa itakua ni funzo ,watu watajifunza kuandika na Sababu za kutomoa urithi mtoto huyu na kumpa yule ili Wosia hisitenguliwe

By the way hii will ya kijinga hivyo haijaandikwa na mzee Mengi , Bali Imeandaliwa na kylin akasainishwa mzee
 
Mwanamke hata Regina ni Mwanamke.. Swala hapa ni haki kwa wote iwe ni Mwanamke, mme au watoto.. Kila mtu apate haki anayostahili... Hv unaona haki kweli Jack kufukuza watoto wa marehemu ambao wana mchango makubwa katika mafanikio ya Mengi?
Kawafukuzaje Jack wakati wosia kaandika Mengi?

Mwenye mali ndo kaamua kumpa Jack kwa utashi wake si watafute za kwao!

Kichekesho ni kwamba huo mchango mnaujua nyie watu baki tu kuliko mwenye mali mwenyewe!

Wenye mchango wa kumfanya mtu akawa millionaire Kama Mengi hawawezi kung'ang'ania mali za watu.
 
Back
Top Bottom