Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Ndo hapo jack alipochemka halafu ,by meansa atapata share ila siyo kama alivyotaka yeye 50% ya mama mercy hiyo haina mjadala kesi itahamia kwenye 50% ya baba yao hapo ndo kuna shida na sisi tunao shindaga shindaga viunga vya mahakamani na kutonya sasa jack hatoboi kwenye hii kesi hana valid docuw hata moja ,asubiri kuishi kwa hisani ya mapacha ambao automatically watapata tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mama Mercy alimpeleka Mengi mahakamani muda tu na watoto wake wanaingiziwa hela za maana kutokana na shares za mama yao. Hapo wanapigania haki ya baba yao so far I know lbd kama hizi info hazikuw za kweli
 
Uliosoma wosia vizuri...etiii mengi amefuta wosia zake zote ikiwemo ile ya separation yake na mama mercy sijuii unaelewa vizuri kasome ndo utajua kwa nini watu wana mgandamiza jackline,halafu kuhusu ndugu wa mengi kusimamia mirathi kabla haya ya wosia huu ambao pia amemtaja Benjamin mengi kaka yake kama msimamizi,pia hata huko nyuma kwenye wosia mingine alimtaja pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write-right
Soma maelezo yake....

Ushaidi ndio huo Mengi ni ngozi nyeusi wa kwanza kutaka kuona Mali zake zinaendelezwa kizazi na kizazi ndio maana Mzee alifika sehemu akastaafu, katafuta mke wakaanza kula Pension hali watoto wako endelea kuchapa kazi... Kumbuka Mengi alikuwa Tajiri msomi, mwenye exposure na aliyekutana na watu wengi.. Bila shaka alijifunza jinsi ya kuendeleza mali... Si kama matajiri wengine wakifa na mali wanaenda nazo...

Sio swala la kufikiri Bali unaona.. Mengi kaanza kuwafundisha watoto wake biashara matunda unayaona.. Ni bahati mbaya tu Hawa watoto hawana watoto... Ndio maana nikasema huyu Dada angekuwa na akili basi angekaa nao vizuri ili watoto wake waje waendeleza mali za Mzee... Ni lazima uangalie faida ya kesho kuliko ya Leo...

Swala la shauri lilopelekwa Mahakama siwezi liongelea maana kila mtu ana mtizamo tofuati wao wameona hivyo na wewe kwa mtizamo wako unaona bora wangefanya vingine... Wanaweza kuwa wrong au write hii itatokana na ushahidi walionao.. Ambao hata bi Dada anakiri kuwa Mzee wakati amepata stroke alisema mali yote ni yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heeeee! Makubwa
Uliosoma wosia vizuri...etiii mengi amefuta wosia zake zote ikiwemo ile ya separation yake na mama mercy sijuii unaelewa vizuri kasome ndo utajua kwa nini watu wana mgandamiza jackline,halafu kuhusu ndugu wa mengi kusimamia mirathi kabla haya ya wosia huu ambao pia amemtaja Benjamin mengi kaka yake kama msimamizi,pia hata huko nyuma kwenye wosia mingine alimtaja pia

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasema hivi Mungu sio mjomba,huyu mdangaji atulie tu ila asahau kupata hizo Mali km anavyotaka! Nawaonbea hao watt wakubwa Mungu awapiganie
Tatizo ni moja tu "wosio " Neno nimemwachia Jack mali zangu zote... Hili neno zote linahitaji uwe na roho ya kimafia kulikubali watoto wakubwa wa marehemu ambao wanazaliwa Baba hana kitu wanashirikiana na mzee wao mpaka kupata mali zote hizo Leo kirahis kirahisi mtu anakuja na kusema amtakiwi kupata kitu hapa
Narudia inahitaji kuwa mchawi kukubali hili neno zote likubaliwe na mahakama na watoto wakubwa wabaki mikono mitupu Au wapewe 1000
Hata kama Jack atapewa kikubwa let say 75% na 25% wapewe watoto inamake sense kuliko yeye apate pekee yake 100% .Bila aibu Unasimama mahakamani kbs embu tumuogope Mungu Pia na nyinyi wanawake mlikuwepo humu acheni kuwa na roho za tamaa umependwa na mtu mpaka kufikia kufanya uwamuzi wa kijinga kwenye wosia embu jaribu kumshauri kuwa hata kama anakupenda pia ni jukumu lake kuwakumbuka watoto wake wa mke mkubwa kwani nao wanahaki kama nilivyo mimi tena pengine zaid usinipendelee mwenyewe... Jack angelikuwa mungwana nae agelipaswa kumkumbusha mengi hilo

Ukiona Kuna mwanamke yuko side ya Jack basi huyo wa kumuangalia Mimi sisapoti uchawi kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Regina asingekuwa mapepe, baba ake angemuachia urithi, lakin ndio hivyo kampani yake ya wasagaji akina Salama Jabir imemponza.
 
Kawafukuzaje Jack wakati wosia kaandika Mengi?

Mwenye mali ndo kaamua kumpa Jack kwa utashi wake si watafute za kwao!

Kichekesho ni kwamba huo mchango mnaujua nyie watu baki tu kuliko mwenye mali mwenyewe!

Wenye mchango wa kumfanya mtu akawa millionaire Kama Mengi hawawezi kung'ang'ania mali za watu.
Kuna vigezo vya kuandika wosia.
Pia kuna haki ya kupinga wosia..sheria haisemi unampa tu mali mtu kwakuwa umempenda.
Km unampa mtu .mali kwa kuwa wampenda ulipaswa ufanye ukiwa hai.
Ukiwa umekufa kuna mambo mengi yanafanywa pasipo ridhaa..mfano ulusema uzikwe kigoma ndg wanaweza kukuzika dar au kwingimeko kutokana na fact sio tu kwa kuwa marehemu kasema.
Kuhusu jackie alipaswa ajue
Mazingira ya ndoa yake
Mila na dezturi za kabila la mumewe
Aina ya ndg na jamii inayomzunguka kabla ya kumwambia mzee asaini
Pia na yeye background yake..
Mwisho taratibu za kisheria zinasemaje ktk mazingira hayo.
Km mtu ana busara hata km mume kawanyima wtt mali alipaswa amshauri akitambua hatma ya kesi ya mirathi ni ukurasa mpya wa maisha na mahusiano yake na wanawe..
.mwisho moto huzimwa vema na maji kuliko moto mwenzake.
 
Back
Top Bottom