Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Kuna kitu kilimpa Mengi mashaka hadi kuanzisha familia nyingine. Binti yake ktk umri huo hakuw na mme wala mtoto mwanae wa kiume hivyohivyo.Na miaka yake sjui mingapi hakuwa na wajukuu.Sidhani kama alikuw na furah sana akiiangalia ndoa yake iliyosambaratika na watoto wake wote hawajaoa /kuolewa na hawana watoto. Pesa itakupa starehe lkn furaha na amani ni vitu independent sana. It's out of topic anyways. .......

Baba anapozaa mtoto wa uzeeni inaumiza sana Especially na mwanamke wa nje kunakua. na ile hulka flani inatokea kua na mimi je nikizaa watoto umri sawa na wadogo zangu itakuaje aibu

Uwa tunabaki kusema subili wadogo zangu wakue kue kwanza ili angalau nitakapozaa watoto wasilingane na wadogo zangu ki umri,ukija kutaamaki umri umeenda by the way wao kutokuzaa ni majaliwa pia ya mwenyezi mungu, watazaa wakati ukifika umri Bado unaluusu, mwanaume atazaa hata akifika Miaka 100

Mzee Mengi (RIP)kuzaa kwake na kyln alilazimishwa sana dem alikua yupo kimkakati kwa ajili ya urithi ,haikua plan ya mzee ndio maana huko kote kuanzia Mercy galabawa, Madam Rita , Restyfishy,Happiness Magese na wengine wengi tu alipita hakuzaa kwa Sababu hao hawakumshika mzee kimadawa wala hawakua na nia ya kurithi walilizika na walichokua wakipewa kwa wakati wao
 
Aibu kuzaa na kutulia na mwanamke aliyeamua yeye? Au aibu kutembea na wanawake wengi hapa mjini?Umetaja hiyo list ya hao wanawake unajua chanzo cha Mengi kuachana na Madam?Most ya wanawake walioachana nae issue kuu ni alipokuwa akigundua anashare na mtu ndio kilichowacost. Jack alipoingia alijitengenezea mazingira ya mzee kumuamini ndio maana alimuoa.Mwanaume alazimishwe kuoa,kukuzalisha,kukutongoza. Mengi alikuw mwanadam kama wengine naye alihitaji faraja pia.Mama Mercy pia habar zake zilikuw zinazagaaga tu mbona.Pia hiyo aibu ya kuzaa uzeeni unayoinongelea labda kwa upande wako. So mtu akipata mimba uzeeni aabort kwa sababu hiyo? Sarah wa kwenye biblia alizaaa na Miaka mingapi? Ilikuwa ni aibu?
 
Baba anapozaa mtoto wa uzeeni inaumiza sana Especially na mwanamke wa nje kunakua. na ile hulka flani inatokea kua na mimi je nikizaa watoto umri sawa na wadogo zangu itakuaje aibu

Uwa tunabaki kusema subili wadogo zangu wakue kue kwanza ili angalau nitakapozaa watoto wasilingane na wadogo zangu ki umri,ukija kutaamaki umri umeenda by the way wao kutokuzaa ni majaliwa pia ya mwenyezi mungu, watazaa wakati ukifika umri Bado unaluusu, mwanaume atazaa hata akifika Miaka 100

Mzee Mengi (RIP)kuzaa kwake na kyln alilazimishwa sana dem alikua yupo kimkakati kwa ajili ya urithi ,haikua plan ya mzee ndio maana huko kote kuanzia Mercy galabawa, Madam Rita , Restyfishy,Happiness Magese na wengine wengi tu alipita hakuzaa kwa Sababu hao hawakumshika mzee kimadawa wala hawakua na nia ya kurithi walilizika na walichokua wakipewa kwa wakati wao
Saa nyingine nahisi hao Regina na Abdiel wangekuw na familia /watoto Mengi aingehaika kuzaa tena. Angetembea na bidada tu na ingeishia hivyo.lkn mpk aamue vile ni fika kuwa ni jambo lililokuwa linampa mawazo sana. Maana kwa mtu kama Mengi alitaka jina lake libaki.Utasema kwani jina lake hqlibaki kwa watoto? Waangalie hao watoto vizuri utapata jibu
 
Kademu kajizi haka, hako kajamaa eti mtu wa mjini alikuwa Darling enzi hizoo atakuwa bado anamfumua marinda.
 
Saa nyingine nahisi hao Regina na Abdiel wangekuw na familia /watoto Mengi aingehaika kuzaa tena. Angetembea na bidada tu na ingeishia hivyo.lkn mpk aamue vile ni fika kuwa ni jambo lililokuwa linampa mawazo sana. Maana kwa mtu kama Mengi alitaka jina lake libaki.Utasema kwani jina lake hqlibaki kwa watoto? Waangalie hao watoto vizuri utapata jibu

Sasa kwani wamekufa ? Si wapo watazaa wataendeleza ukoo,

Linampa mawazo uliingia kwenye kichwa cha mzee Mengi ?umekAzania saa nyingine saa nyingine naisi saa nyingine naisi una buni buni tu halafu unabishana na watu tunaoijua hiyo familia nje ndani

Kila Jambo lina wakati wake wewe, wanawake/wanaume wenyewe ndio hao wanafata mali waache waamue kwa wakati wao kuzaa kuoa /kuolewa na mtu wanaemuona ni sahii kwao , husipangie watu maisha wetu wenyewe unawajulia mitandaoni tu
 
Baba anapozaa mtoto wa uzeeni inaumiza sana Especially na mwanamke wa nje kunakua. na ile hulka flani inatokea kua na mimi je nikizaa watoto umri sawa na wadogo zangu itakuaje aibu

Uwa tunabaki kusema subili wadogo zangu wakue kue kwanza ili angalau nitakapozaa watoto wasilingane na wadogo zangu ki umri,ukija kutaamaki umri umeenda by the way wao kutokuzaa ni majaliwa pia ya mwenyezi mungu, watazaa wakati ukifika umri Bado unaluusu, mwanaume atazaa hata akifika Miaka 100

Mzee Mengi (RIP)kuzaa kwake na kyln alilazimishwa sana dem alikua yupo kimkakati kwa ajili ya urithi ,haikua plan ya mzee ndio maana huko kote kuanzia Mercy galabawa, Madam Rita , Restyfishy,Happiness Magese na wengine wengi tu alipita hakuzaa kwa Sababu hao hawakumshika mzee kimadawa wala hawakua na nia ya kurithi walilizika na walichokua wakipewa kwa wakati wao
Unataka kusema mzee alitafina Restyfishy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa nyingine nahisi hao Regina na Abdiel wangekuw na familia /watoto Mengi aingehaika kuzaa tena. Angetembea na bidada tu na ingeishia hivyo.lkn mpk aamue vile ni fika kuwa ni jambo lililokuwa linampa mawazo sana. Maana kwa mtu kama Mengi alitaka jina lake libaki.Utasema kwani jina lake hqlibaki kwa watoto? Waangalie hao watoto vizuri utapata jibu
Abdiel bado kijana anaweza zaa akitaka Ila Sina uhakika kwa Regina I guess monepause ishafika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe"

ni usuluhishi gani anaotaka Bibie wakati mirathi uamuliwa au kuthibitishwa Mahakamani??
 
Back
Top Bottom