usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,978
- 14,101
Elimu n ufunguo wa maishaJackie na uzao wake wameokota dodo chini ya mnazi. Yan wana uhakika wa kuishi raha mustarehe maisha yao yoote. Vyakula kama dagaa na kisamvu wataishia kuviona kwenye TV tu!