Ivi wewe unatabia gani...?!

Vodka

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
906
96
Inasemekana kuna watu wa aina nne,kuna wale ni rahisi kuzoeleka na pia rahisi kuzoea watu.Watu wa namna hii ni wacheshi na wachangamfu mno.Aina ya pili ni wale awazoeki haraka,inawezekana akakaa pahala hata mwaka mzima asijulikane hata jina.Watu wa namna hii ni wapole na wasiopenda ubishani,na akiwa na hasira anakuwa hatari sana.Aina ya tatu ni mtu asiye na msimamo,yeye ni mfuata upepo rahisi kumshawishi na rahisi kubadili maamuzi yake.Hawa ni rahisi kuwazoea ila ni rahisi kukugeuka.Aina ya nne ni mtu anayependa kusikilizwa tu,maranyingi anapenda kuwa kiongozi na maamuzi yake huwa apendi kupingwa.Yeye kila anachokifanya ni sawa,watu wa namna hii upenda kuweka watu wengine chini yake na kuwapelekapeleka kama apendavyo...Je,unafikiri wewe au nani katika jamvi unadhani una au anatabia gani/au we ni mtu wa aina gani kati ya hizo hapo juu?
;Vodka
 
yapiliiii....ninapoo kaaa sasaa nina miak miwili hakunaa m2 anae nijuaa zaidi ya kunionaa,natokaaa kumi na mbiliii asubui na rudii 5 usiku.
 
yapiliiii....ninapoo kaaa sasaa nina miak miwili hakunaa m2 anae nijuaa zaidi ya kunionaa,natokaaa kumi na mbiliii asubui na rudii 5 usiku.
tatizo uko bussy sana wala sio tabia yako
 
Back
Top Bottom