Ivi wewe unatabia gani...?!

Namba 1, 2 na 4 kutegemeana na mazingira niliyopo, sababu inayoniweka pale pia aina ya watu wanaonizunguka.
 
wewe utakuwa huna msimamo,bila shaka

kuna group 4..
Sasa unadhani haiwezekani katika binadamu Bil ngapi sijui walipo duniani kama inawezekana kuwa na characters za kila group walau mbili? Basi inawezekana!
 
Namba 1, 2 na 4 kutegemeana na mazingira niliyopo, sababu inayoniweka pale pia aina ya watu wanaonizunguka.
other factors remain constant...Hata ivyo kila theory ina critisms
 
Back
Top Bottom