Hivi shida ni nini? Kila mahusiano nikiingia nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza mpenzi wangu anakubali

aBuwash

Senior Member
Dec 26, 2023
107
201
Habari wanaJF. Nina imai mko poa kabisa
Kama kichwa cha habari kinavyosema

Nimekuwa na mahusiano na wasichana takribani watano mpaka sasa hivi, ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye mahusiano naye nikijaribu kutumia namba ngeni kumtongoza kama mwanaume mwingine huwa wanakubalii kabisa kutoka na kimapenzi tena kwa kuona picha ambazo nawataumia wasapp ambazo ni za uongo

Kwakweli huu mchezo huwa nafanya kuona kama kweli mpenzi wangu ananipenda kweli au ananzingua tu ila cha kushangaza napigwa za uso

Mademu wote watano amabao nimejaribu kuwatongoza kupitia namba ngeni wote walikubali

Hivi hii jamanii imekaaje huwa inanitoa kwenye mahusiano sana kwasababu nakuwa na mtu ambaye simuamini kwa hiyo nakosa sana raha.
 
Utoto kivp sometime unamchunguza mtu uwe na uhakika ili hata kama unainvest kwke uinvest kihakkk
Kwani wewe sehemu za ku-invest umekosa hadi ukainvest kwa wanawake wenye wazazi wao?

Dizain yako ndiyo hupeleka wanawake shule kwa gharama zenu kama jamaa yangu 2017 alinifata ananiambia ameamua amsomeshe mkewe mambo ya afya juzi tumekutana msibani ananiambia mkewe wametengana baada ya kumletea mimba asiyoielewa kumbana akamwambia ni ya mwanafunzi mwenzake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom