I've Reached the End of the Road

I've Reached the End of the Road

Mawazo yetu huumba uhalisia wa maisha kupitia maamuzi tunayofanya.

Maneno unayotamka huimarisha mawazo hayo na kuashiria kwenye ubongo wako kile kinachowezekana.

Ukisema umefika mwisho wa barabara, unaweza kuuhadaa ubongo wako uache kabisa kutafuta suluhisho.

.Sababu za Maneno Kuumba Uhalisia

Mabadiliko ya Ubongo (Neuroplasticity):
Ubongo hubadilika na kujirekebisha kimuundo kulingana na mawazo unayoyakariri kila mara.

Mfumo wa Kuchuja Taarifa (RAS): Sehemu hii ya ubongo huangazia na kukuvutia kwenye fursa zinazoendana na kile unachokiwazia zaidi.

Utabiri Unaojitimizia: Kutangaza kushindwa hubadilisha matendo yako, na kufanya kushindwa huko kuwa ukweli usioepukika

Mabadiliko ya Tabia:
Sentensi hasi hufanya mwili ukose nguvu na kuzuia ari yako ya kupiga hatua.

Maneno Mbadala ya Kutumia Wakati wa Changamoto

Badala ya kufunga njia kabisa, tumia misemo inayogeuza kikwazo hicho kuwa sehemu ya mpito:

"Ninaingia kwenye ukurasa mpya wa maisha

""Njia hii inabadilisha uelekeo.

""Ninasaka njia mbadala ya mzunguko.

""Njia hii imeisha, na mpya inafunguka."
Mkuu inahitaji reprogramming ya hali ya juu sana ku override hiyo existing system
 
Sasa yeye hataki

Tumpe mda akiwa tayali atasema hata isipokua humu

na nina muelewa sana unamshirikisha jambo mtu kesho inakua breaking news kila sehemu
Kweli my g, unakuwa na insecurity Kwa sababu ya maumivu uliyopitia...

Hata mm Kuna Siri nyingi sana, and I'll share them here one day
 
Sijui huyo Mama yako alikuwa na malengo gani na wewe kiasi cha kukusafirisha ukiwa mdogo wa umri kiasi hicho umbali wa kilomita zaidi ya 1,200 peke yako

Sijui Wanaume wengine walivyo, lakini binafsi mapenzi yangu ya kwanza ni kwa watoto wangu

Iwapo mke wangu ndiyo angekuwa huyo Mama yako, sijui ningemfanya Nini kwa kosa hilo la kukusafirisha katika umri huo 🙌
Wewe ni mimi kabisa..!
Kingeewaka. Watoto wangu ndio maisha yangu.
 
Hadi mtu asimulie yake, huwezi kujua ukubwa wa mzigo aliobeba mgongoni mwake.
Sometimes haya mambo hubeba ukweli mchungu kuwa kila mtu anapitia mapambano mazito ya siri ambayo wengine hawayajui.

Hivi umeshawahi kujiuliza Kwanini Simulizi za Wengine Zinafanya Zako Zionekane Nyepesi?
Je unajua kuna watu wana Mateso ya siri?

Watu wengi huvaa tabasamu kubwa hadharani huku wakipitia maumivu makali mioyoni mwao.
Hata hivyo tuna tofauti ya viwango vya changamoto na maumivu...! Kuna wanaopambana kupata chakula cha leo, huku wengine wakipambana kubaki hai hospitalini lakini wengine wakipambania mahusiano😪.

Yote juu ya yote.. Kuna huu ushujaa uliofichika:
Kusimulia changamoto zako hufunua milima uliyopanda ambayo wengine walihisi ni tambarare.
Lakini usisahau Kioo cha shukrani:
Kusikia magumu ya mwenzako hukustua na kukufanya uthamini pale ulipo sasa.
 
Back
Top Bottom