I've Reached the End of the Road

I've Reached the End of the Road

Pole na hongera kwa ujasiri wa kumudu kusafiri hiyo safari ukiwa peke yako bila documents

Ukiwa Mama miaka ijayo (kama bado), basi usije kufanya kosa la hivyo

Siku hizi watoto ni biashara, wanauzwa kama unavyoweza kuagiza Toyota brevis yako Japan
Lile tukio sisahau ndio maana ni ka share hapa na nilikua na ujasiri kuliko kawaida
 
ShesRise_1 mm nina kisa kimoja na kilinifundisha sana.

Nikiwa form 4. June. Nikapewa hela ya kulipia necta. 30k.
lakin Anko wangu pia aliniahidi atanitumia hela. Kipind hiko hela unatumiwa kwa EMS. (Unachukulia posta).

Sasa nilikuwa napenda saba American boot. Kwahiyo akil ikaniambia ile 30k ninunulie nayo american boot alaf atakayonipa anko ndio nilipie ada ya necta 😂😂😂😂.

Huwez amin had tar 30 sept. Siku ya mwisho kabisa kulipia hela ya necta form 4 sijatumiwa na anko ananipiga kiswahili 😎😎😎😎.

Ikabidi nimvagae Mwl wa Geografia , nimwambie ukweli. alikuwa ananipenda coz somo lake nafanya vizur. Madam yule wala hakunichapa akanisema sana ila akanilipia.

Anyway. Paper nilifanya.
Ila Sijui ingekuwaje bila yule Madam.
RIP. Nimekukumbuka mwal wangu.

Somo:- Usipigie hesabu hela uliyoahidiwa kama hisani/msaada. Pigia hesabu hela ambayo ni haki yako kupata(mshahara au ujira).
 
ShesRise_1 mm nina kisa kimoja na kilinifundisha sana.

Nikiwa form 4. June. Nikapewa hela ya kulipia necta. 30k.
lakin Anko wangu pia aliniahidi atanitumia hela. Kipind hiko hela unatumiwa kwa EMS. (Unachukulia posta).

Sasa nilikuwa napenda saba American boot. Kwahiyo akil ikaniambia ile 30k ninunulie nayo american boot alaf atakayonipa anko ndio nilipie ada ya necta 😂😂😂😂.

Huwez amin had tar 30 sept. Siku ya mwisho kabisa kulipia hela ya necta form 4 sijatumiwa na anko ananipiga kiswahili 😎😎😎😎.
Hapa ndio kusema ulijiamulia mambo 😅
Ikabidi nimvagae Mwl wa Geografia , nimwambie ukweli. alikuwa ananipenda coz somo lake nafanya vizur. Madam yule wala hakunichapa akanisema sana ila akanilipia
mimi nina msemo watu wema hawajaisha wanakusaidia bila kutaka malipo
.

Anyway. Paper nilifanya.
Ila Sijui ingekuwaje bila yule Madam.
RIP. Nimekukumbuka mwal wangu.
Apumzike kwa amani
Somo:- Usipigie hesabu hela uliyoahidiwa kama hisani/msaada. Pigia hesabu hela ambayo ni haki yako kupata(mshahara au ujira).
Hapa nina ushuhuda aiseeee
 
Hawezi ku

sema, lakini hata mimi nadhani alikuwa😂😂
Comment kama hizi zako hua hazikosekani

Ila unavyoniona unahisi naweza kusumbuliwa nazo

Hunijui hata kidogo mimi ni mtu wa aina gani bro😁

Ila nitakushauri japo sio lazima pendelea kujikita kwenye mada zaidi

Mtu anaetoka njee ya topic hua naona kama ............
 
Comment kama hizi zako hua hazikosekani

Ila unavyoniona unahisi naweza kusumbiliwa nazo

Hunijui hata kidogo mimi ni mtu wa aina gani bro

Ila nitakushauri japo sio lazima pendelea kujikita kwenye mada zaidi

Mtu anaetoka njee ya topic hua naona kama ............
Malizia tuuuuuu
 
Kwenye maisha ya watu wengi kuna wakati unafika unasema,

I've reached the end of the road!

Yaani unaona kabisa umefika ukomo na njia zote zimeonekana kufungwa

Mara nyingi katika nyakati kama hizo, watu hufanya maamuzi magumu na ya kutisha; maamuzi ambayo wakati mwingine huwaletea mafanikio, na wakati mwingine huwaacha na majuto ya maisha

Je, ni uamuzi gani mgumu au wa hatari uliowahi kufanya baada ya kuona huna chaguo jingine, hata kama moyoni hukupenda kuufanya?

Naanza mimi👇
Kabla ya uamuzi jaribu kuzungumza na watu wanaofahamu "ulimwengu wa roho ".
 
Nimefika, naona giza nene limenifikia.Nimekata tamaa sina msaada.Hujui tu nachopitia.
Ni kweli sijui unachopitia hakika sijui

Lakini nitakwambia kitu kimoja ambacho mimi nimejifunza kwenye haya maisha usitegemee sana faraja kwa mtu /watu kwa sababu ikienda kinyume na matarajio yako utaumia zaidi

Ukweli ni kwamba mtu anaeweza kupatikana haraka ukimuitaji ni wewe Mwenyewe jifunze kujiongelesha kujifariji kujikosoa na sometimes kujipongeza

Dunia haina huruma hata ukitia huruma jikaze jipige kifua songa mbele
 
Addiction ya gambling/kamari ilinifanya nichukue risk kubwa sana.

Guys kuazia 2020 niliingia kwenye uraibu mkubwa sana wa kamari.

Mwaka 2022 nilifika kwenye peak mbaya sana ya uraibu nikafukuzwa kazi,nilikua nafanya kazi as tour operator huko northern Tz. Ilitokeaje mpaka nikafukuzwa ni stori nyingine.

Sasa si nikafukuzwa kazi with zero balance,sikua hata na pesa yoyote zote nilikua nimezisondeka kwa mhindi hata ndugu zangu wa karibu nilikua siwatumii chochote visingizio tu natoa.
Licha ya kuwa nilikua na mshahara mzuri tu na posho nilikua na madeni mengi sana kwa marafiki zangu wote wa karibu wote kwahiyo sikua na wakumueleza hata anisitiri.

Sasa sikutaka ndugu jamaa na marafiki wajue kabisa kwamba Mimi nimefukuzwa kazi na nipo juu ya mawe nikasema nipo tayari kufa na tai shingoni nikaamua kuingia Arusha mjini,hapo Mimi nyumbani ni Dar.

Niliuza assets zote nilizotoka nazo kazini,PC, binoculars,simu nk lakini havikusaidia maana mzimu wa aviator ulikua umenishika balaa sikutoboa week nikadata kabisa.

Hapo sasa ndipo nilipoona nimegonga mwamba kabisa nikaaza kumchukua risky yoyote ni survive nikaaza kutarget wanawake wazungu mjini na wanawake watu wazima corporate.

Aaghhh nimechoka kuandika ila tu risky niliyochukua ni kuwa nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke wa miaka 48 mwenye maambukizi ya ukimwi kwa miaka miwili.

Hapo ndio nilipata turning point na break through.

Am -ve though

Gambling ni mbaya
 
Kwenye maisha ya watu wengi kuna wakati unafika unasema,

I've reached the end of the road!

Yaani unaona kabisa umefika ukomo na njia zote zimeonekana kufungwa

Mara nyingi katika nyakati kama hizo, watu hufanya maamuzi magumu na ya kutisha; maamuzi ambayo wakati mwingine huwaletea mafanikio, na wakati mwingine huwaacha na majuto ya maisha

Je, ni uamuzi gani mgumu au wa hatari uliowahi kufanya baada ya kuona huna chaguo jingine, hata kama moyoni hukupenda kuufanya?

Naanza mimi👇

Mawazo yetu huumba uhalisia wa maisha kupitia maamuzi tunayofanya.

Maneno unayotamka huimarisha mawazo hayo na kuashiria kwenye ubongo wako kile kinachowezekana.

Ukisema umefika mwisho wa barabara, unaweza kuuhadaa ubongo wako uache kabisa kutafuta suluhisho.

.Sababu za Maneno Kuumba Uhalisia

Mabadiliko ya Ubongo (Neuroplasticity):
Ubongo hubadilika na kujirekebisha kimuundo kulingana na mawazo unayoyakariri kila mara.

Mfumo wa Kuchuja Taarifa (RAS): Sehemu hii ya ubongo huangazia na kukuvutia kwenye fursa zinazoendana na kile unachokiwazia zaidi.

Utabiri Unaojitimizia: Kutangaza kushindwa hubadilisha matendo yako, na kufanya kushindwa huko kuwa ukweli usioepukika

Mabadiliko ya Tabia:
Sentensi hasi hufanya mwili ukose nguvu na kuzuia ari yako ya kupiga hatua.

Maneno Mbadala ya Kutumia Wakati wa Changamoto

Badala ya kufunga njia kabisa, tumia misemo inayogeuza kikwazo hicho kuwa sehemu ya mpito:

"Ninaingia kwenye ukurasa mpya wa maisha

""Njia hii inabadilisha uelekeo.

""Ninasaka njia mbadala ya mzunguko.

""Njia hii imeisha, na mpya inafunguka."
 
Back
Top Bottom