SanArt
JF-Expert Member
- Oct 14, 2026
- 244
- 468
Si ni baada ya kusoma uziKulikoni?
New member kuulizana utaifa?
Si ni baada ya kusoma uziKulikoni?
New member kuulizana utaifa?
Lazima una majibu yako tayari basi tosheka nayo mkuuSi ni baada ya kusoma uzi
😂😂😂🫵🫵🫵 Nilikua natest mitambo. As I said before niliugua nusu ya kupalalaizi.Usiogope eleza tu 😅😅
Eeeeh baasiiiiiii 🤣🤣🤣😂😂😂🫵🫵🫵 Nilikua natest mitambo. As I said before niliugua nusu ya kupalalaizi.
Or rather I have reached the point of no return.Kwenye maisha ya watu wengi kuna wakati unafika unasema,
I've reached the end of the road!
Yaani unaona kabisa umefika ukomo na njia zote zimeonekana kufungwa
Mara nyingi katika nyakati kama hizo, watu hufanya maamuzi magumu na ya kutisha; maamuzi ambayo wakati mwingine huwaletea mafanikio, na wakati mwingine huwaacha na majuto ya maisha
Je, ni uamuzi gani mgumu au wa hatari uliowahi kufanya baada ya kuona huna chaguo jingine, hata kama moyoni hukupenda kuufanya?
Naanza mimi👇
Keep going, don't look back broOr rather I have reached the point of no return.
Umbea tuu😏😏😏🤪🤪🤪Eeeeh baasiiiiiii 🤣🤣🤣
Nimekua mbeya tena lol 😆Umbea tuu😏😏😏🤪🤪🤪
Umezidi mpaka kunitangaza kwa wanaJF😂😂😂Nimekua mbeya tena lol 😆
Basi nimeacha abegiii ooohUmezidi mpaka kunitangaza kwa wanaJF😂😂😂
Ewaaah! Forgiven mrembo.Basi nimeacha abegiii oooh
Sawa mkuuEwaaah! Forgiven mrembo.