I've Reached the End of the Road

I've Reached the End of the Road

Nilikula tungi nikala na bangi

Nikawaambia wanangu hapa Sasa nataka kunywa Damu na ilikuwa ni Kweli kabisa ilikuja stimu ya Kutaka kunywa Damu ya MTU tu.
 
Sasa baada ya hapo ilikuaje mpka ukatulia ?

Lakini hayo sio maamzi magumu nadhani ni pombe ilikuzidi pamoja na bange
Nilienda chooni mana ilikuwa club Sasa wakati najiangalia kwenye kioo cha pale toilet ndio nikaona macho yangu hayako sawa nikarudi nikawambia wanangu naona kama sielewa na Kweli natamani nimng'ate MTU kwenye Shingo ninywe Damu yake.Wakaanza kuniambia mwenetu Leo stimu imekaa Mahala pake.

Nikarudi toilet Tena kuchek kwenye kioo asee nilikipiga ngumi ya hasira nikakipasua walinzi walikuja baada ya kuitwa mana Kuna watu walikua wanachek Ile movie yangu.

Walinzi walikuwa wananijua wakaniuliza nini shida boss upo Sawa nikawambia Niko Sawa.

Ile Hali ilikuja kutulia baada ya kutoka Damu kwenye kwenye mkono na kuanza kuilamba mana kioo kilinchana.

Isingekuwa kupasua kioo Sjui ingekuwaje asee nawazaga Ile moment staki irudie Tena mana naweza nikanywa Damu ya MTU Kweli.
 
Kuhusu macho kubadilika hii hata mimi nina story sio leo lakini
Nikarudi toilet Tena kuchek kwenye kioo asee nilikipiga ngumi ya hasira nikakipasua walinzi walikuja baada ya kuitwa mana Kuna watu walikua wanachek Ile movie yangu.

Walinzi walikuwa wananijua wakaniuliza nini shida boss upo Sawa nikawambia Niko Sawa.

Ile Hali ilikuja kutulia baada ya kutoka Damu kwenye kwenye mkono na kuanza kuilamba mana kioo kilinchana.

Isingekuwa kupasua kioo Sjui ingekuwaje asee nawazaga Ile moment staki irudie Tena mana naweza nikanywa Damu ya MTU Kweli.
Pole sana usichanganye pombe na bange aiseee una amsha maruhani
 
Kwenye maisha ya watu wengi kuna wakati unafika unasema,

I've reached the end of the road!

Yaani unaona kabisa umefika ukomo na njia zote zimeonekana kufungwa

Mara nyingi katika nyakati kama hizo, watu hufanya maamuzi magumu na ya kutisha; maamuzi ambayo wakati mwingine huwaletea mafanikio, na wakati mwingine huwaacha na majuto ya maisha

Je, ni uamuzi gani mgumu au wa hatari uliowahi kufanya baada ya kuona huna chaguo jingine, hata kama moyoni hukupenda kuufanya?

Naanza mimi👇
binafsi changamoto ninazokumbana nazo katika maisha, huwa nazigeuza na kua fursa muhimu sana ya kujipanga upya, kujisahihisha kujirekebisha, kujisahihisha na hatimae kuziconfront nikiwa very bold na kuhakikisha natoboa kikamilifu.

In fact Neema na Baraka za Mungu hunipa nguvu zaidi na uhakika wa kufanikiwa katika kudeal na changamoto ngumu na nyepesi maishani 🐒
 
Back
Top Bottom