LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,466
- 822
- Thread starter
- #61
acha uongo.
Amemaliza udom
2013 30 JUNE
B.A INTERNATIONAL RELATION
RUM YKE ILIKUA #1008 BLOCK 5
RUM MATE WA FIDELIA MALICK, CATTY
NA NEEMA CHIZI.
Alikua bingwa wa vinongo kwenye pepa.
Lol
Hahaaaaaa!huo sio uongo ulio kamilika kabisa coz unakaribiana na ukweli 2012 na 2013 si kitu huenda ni kusahahu kidogo tu ,,ila angekuwa muongo kabisa kabisa kama angesema mwaka 2001