guantamonera
Member
- Jan 21, 2014
- 42
- 16
Mimi napenda sana jinsi anavyowasiliasha habari na kwa kweli nilifurahi sana kumuona akisoma taarifa ya habari it show that she is growing in her career kama nilivyowahi kumsisitiza huko nyuma namuomba sana aongeze bidii ajitume asibetweke na apende kujifunza kila siku asifanye kazi kwa mazoea kama walivyo watanzania wengi na ikibidi ajitahidi kusoma ili aongeze maarifa ili awe anajua vitu vingi:dada jackline kama ukizingatia hayo utafika mbali because i can see something potential on you na nitakuwa nakuombea.