Kama na hiki kilikuwa Kilio cha Watanzania basi Watanzania tumekosa vilio vya kulilia na inabidi tushukuru
Dada silemu Jackline hongera sana sana tena sana.For the first time jana umeingia studio na umeonyesha kujiamini,unasoma vizuri na wadau tunakuelewa.Wewe ni wa tofauti sana kuna Dada mmoja anaitwa ZAINABU CHONDO alishawahi kusoma mara nyingi lakini hakujiamini,hakuonesha kubadilika,kila saa yeye ni kukosea tu.Wewe una kipaji cha pekee dada huna tofauti na wakongwe Double G- na ABDALLAH MWAIPAYA..Upo juu mno nakutabiria nyota njema na unakoelekea utakuwa supper brand no.1 ITV presenter.
ONGEZA JUHUDI DADA.
nyonga inaigiaje hapo?Akatangaze na kipimajoto ili tuone na sehemu za nyonga mashalah kama amebarikiwa neema za mwenyezi Mungu kama Fatma Nyangasa.
wivu wa kijinga.kusoma habari na pua vinahusiana nini?? Acha wivu mwenzio akisifiwa kwa kazi nzuri wewe mmoja ukimchukia kwa sababu zako hasi halafu tisa wakampenda haidhuri kitu.MKUMBUSHE PIA
akachonge lile PUA lake
lile pua limekaa vbaya.
Lile pua Ndo linanifanya mimi nikimuona tu fasta nabadili stesheni.
Dada silemu Jackline hongera sana sana tena sana.For the first time jana umeingia studio na umeonyesha kujiamini,unasoma vizuri na wadau tunakuelewa.Wewe ni wa tofauti sana kuna Dada mmoja anaitwa ZAINABU CHONDO alishawahi kusoma mara nyingi lakini hakujiamini,hakuonesha kubadilika,kila saa yeye ni kukosea tu.Wewe una kipaji cha pekee dada huna tofauti na wakongwe Double G- na ABDALLAH MWAIPAYA..Upo juu mno nakutabiria nyota njema na unakoelekea utakuwa supper brand no.1 ITV presenter.
ONGEZA JUHUDI DADA.
Nipeni namna ya kuweka picha humu niwawekee picha zake! She is so cute kwa wanaomponda! Ni skulmate wangu ! Nipeni procedures za kuattach pics humu niwawekee
Shukrani sana bwana loook 4 shading that light ! Ntawatumia soon! Alimaliza udom year 2012! She is down to earth!