Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,944
- 4,511
Hii picha haituhusu
Mbona me najua..Hujasema Kilio changu wala chako unaposema Kilio cha Watanzania nadhani unamaanisha majority ya Watu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania..., na mimi ninakuhakikishia 99.99% ya watanzania hawajui hata kama kuna kiumbe kama huyu let alone kutizama TV au ITV
Acha majungu wewe,yote haya ili iweje?afu we mbona unamtetea sana?
Political science 1 na Political science 2 first year alipiga sapu.
Za DR. Rashid
kwani sap ni kitu cha ajabu?
Hata ivyo watoto wa I.R kozi zenu zilikua mayai mayai tuu
kwann mpate sapu?
No one is perfect
she is smart kwenye ku flow habari ITV
ila kwenye GODORO na Mengine
kawaida sana.
kweli anajiamini anavyosoma taarifa hata anaporipoti matukio pia anakushawishi uendelee kumsikiliza kwa makini zaidi, jacline silem ni jembe!
Mbona me najua..
​bado hujanijua kunguru mweusi weUtauangaliaje wakati wewe no mzee wa mikataba feki? Watu wa sampuli yako TBC ndio chaguo lenu na inwafaa sababu inajua kuwabeba!
Ufoo saro atasoma lini taarifa ya habari?
kuna mleta mada mmoja aliwahi kuleta uzi humu akiwaomba ITV kumpa nafasi j.silem kusoma habari za usiku na ombi leni limefanyiwa kazi mdada ndani ya jumba now!!
​bado hujanijua kunguru mweusi we
Ni mimi niliyependekeza hilo na jana nikajua ombi langu limefanyiwa kazi. Kumbe ilikuwa dharura tu maana leo yuko mtaani akiripoti kama siku zote. Watupe Jacqueline wetu atusomee habari bwana; hadi usikivu unaongezeka. Mdada amesimama aisee, hadi raha.
​bado hujanijua kunguru mweusi we
Ni mimi niliyependekeza hilo na jana nikajua ombi langu limefanyiwa kazi. Kumbe ilikuwa dharura tu maana leo yuko mtaani akiripoti kama siku zote. Watupe Jacqueline wetu atusomee habari bwana; hadi usikivu unaongezeka. Mdada amesimama aisee, hadi raha.
Anabetua sana midomo hadi ana-boreHuwa napenda uwasilishaji wake wa habari.
Kama Farhia Midle?Akatangaze na kipimajoto ili tuone na sehemu za nyonga mashalah kama amebarikiwa neema za mwenyezi Mungu kama Fatma Nyangasa.