Haujaifuatilia tu,ni nzuri sana na inagusa kila upande wa maisha,ilianza mwaka 1998 bada ya EGOLI THE PLACE OF GOLD kwisha,ni bor kuliko hizi za kifilipino ambazo hazina uhalisia wa maisha ya kila siku,isidingo inagusa vitu kama,kazi,habari,utawala,vyama vya wafanyakazi,maisha ya kitajiri na ya kimaskini,usaliti na uaminifu,magonjwa,n.k,nilianza kuifuatilia since 2004,na inaweza pita hata miez miwili sijangalia kutokana na majukumu ya kusafiri mikoani sema nikiangalia mara mbili narudi kwenye mstari,LETTI MATABANE aliacha kuonekana kabla hata hajafa,na alitoka isidingo kwa style ya kifo pia,mashabiki wa isidingo tuko weengi mno!