RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,734
- 129,416
Mtoa uzi ni mvivu wa kuchunguza,na anashangaa tu kwa sababu inaoneshwa hapa kwetu,Jaribu kuangalia tv stations za nje utaona tamthilia za THE BOLD AND THE BEAUTIDUL,bado inaoneshwa muda mrefu tu,kuna Passions,Scandal na zingine zisizoisha na ni muda mrefu tu umepita bado hazijaisha,au umezoea Kaole
naingalia hii kila siku na kuna ingine inaitwa rythm city, soap za south africa nzuri sana....zinagusa angle zote za maisha kazi,biashara,shule,crime,high life,low life yaani ni maisha halisi ya kila siku.....za kifilipino siwezi hata kuangalia dakika kumi kwasababu ni mapenzi mapenzi na mapenzi.