Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
ni SABC 2. Pia kuna Rythim city, Scandal, mhvango! na zenyewe pia nzuri!
thank u huwa naiwatch ila sio mfatiliaji saaaana kama ilivo kwenye isidingo
ni SABC 2. Pia kuna Rythim city, Scandal, mhvango! na zenyewe pia nzuri!
Inapatikana kwenye king'amuzi gani mkuu?
DSTV waliniambia hawaonyeshi hizo channels za SA huku bongo, au siku hizi wanazionyesha?
ha haaa, poa.pole! mahali nilipo mimi ninaziangalia kupitia cables za mitaani!
ha haaa, poa.
hizo cables za mitaani siwezi kupata na mimi?
Mimi huwa naangalia marudio ya wiki, this time ITV walichemsha!, marudio ya wiki walirudia episodes 4 za last week na episode moja ndio mpya, ile ya Cathlego akimkomalia mdingi, nimmesikitika sana ku miss last week.
Pasco
chezea isidingo ww....toka unanyonya , kuvunja ungo mpaka menopause........