ITV na isidingo the need???

ITV na isidingo the need???

Nami nahitaji kujua hili. Kwa sababu tangu Itv inafunguliwa mnamo 1994 hii tamthilia ipo tu

ITV ilianzana EGOLI then ndio ikafuata ISIDINGO its very interesting....kuna love,business,cultural,crime issues kwenye hii tamthilia tofauti na za kifilipino zilizojaa mapenzi tuu
 
kitu ninachopenda hizi tamthilia hata ukianzia katikati baada ya wiki moja tu unakuwa ushajua nini kinaendelea na unaelewa kila kitu....mimi ISIDINGO niliiacha miaka ya mwanzo ilivyoanza nimeanza tena kuiangalia few months ago
 
uko sahihi, isidingo si lazima ufuatilie yote, pale unapoianza unafaidi uhondo wote, anayeponda isidingo lugha ya malkia inamsumbuwa.
 
Kwa takriban siku ya pili sasa ITV na Channel shirikishi zake zote hazipatikani kwangu.
 
jumamosi saa nne/tano usiku not so sure ila jumapili saa nne asubuhi baada ya kipindi cha watoto....mimi huwa naangalia hii.
lol, huo ndo muda wangu wa kuanza kupika......
nitajipanga tu..... hope sitakuwa naunguza
 
ahahaha..ndo maana nikajisajili british council..
ilipofikia,jeff ashaanza kuniudhi
uko sahihi, isidingo si lazima ufuatilie yote, pale unapoianza unafaidi uhondo wote, anayeponda isidingo lugha ya malkia inamsumbuwa.
 
Naomba kujua ka Leti Matabane aliyefariki mwezi wa pili bado anaonekana.
Leti haonekani tangu siku nying,walimuua kimchezo na baadae akafariki kweli mapema mwaka huu anaitwa Lesego Motsepe google utapata.
 
ni jumapili saa 4 my sis.................

na wewe ni mpenzi wa hii tamthilia
naipenda..... ila sasa nimejikuta nipo mbele sana sasa naisubiria ifike nilikokuwa then ntaendelea.
Vipi Generations? inaonyeshwa na channel ipi na lini?
 
Back
Top Bottom