MIDFIELD
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,944
- 701
Kumbe ile sio habari
Ndo hapo na mimi nashangaa. Tatizo mleta mada alitaka ITV ipendelee Ukawa japo anashindwa kuwa muwazi. Mimi siyo mwanachama wa chama chochote na sitokuwa ila huipenda ITV kwa kuwa siku zote hubalance habari bila upendeleo. Hili liko wazi, ukibisha basi itakuwa ubishi fani yako. Ukiona habari ya chama fulani haijarushwa, basi nadhani itakuwa either kuna technical problem au chama hakikuleta habari zake zirushwe cku hiyo