ITV mnatia shaka na aibu kwa hili!

ITV mnatia shaka na aibu kwa hili!

Kumbe ITV ni maalum kwa chadema tu! siku zote wamekuwa mstari wa mbele kurusha habari za chadema muda mrefu hii leo moja ya Mwigulu imewatoa imani! dah! wachaga bana!

Issue ni kwamba Mwigulu anazungumzia escrow wakati ipo mezani kwa bosi wake. Juzi Prof Lipumba kazungumza ccm ikamjia juu kuwa anaingilia dola ya ccm.
 
Pale ITV kuna kundi la watangazaji ambao kwa maana moja ama nyingine ni mapandikizi ya ccm, mfano

1. Godwin Gondwe

2. Ufo Saro

Nasasa wameongezeka wengine kwenyekundi wanalotumika kuipamba ccm na kupotezea harakati ya vyama vingine amkusudi hususan Cdm, Cuf na Nccr.

Sio Taarifa ya habari ya jana tu nimuda mrefu wanafanya ufisadi wa habari, isipokuwa kwa wachache ambao wakiwa zam hujitahidi kubalance.

Suala hapa sio R. Mengia, nijukum la Joyce Mhavile kuwachunguza haraka waandaji wa taarifa za habari ilikuwabaini wanaotumika kuihujum ITV nakushusha heshima na weledi wa kituo hiki.

Watanzania wanaimani na taarifa za habari kutoka kituo cha ITV,ccm wanafaham na wanatumia fulsa hiyo kupenyeza ushenzi wao kwa waandaaji kiasi kwamba Joyce Mhavile akifanya uzembe kidogo na teyari kesha jichafua atakuta heshima na umaarufu wa Itv unapotezwa kabisa na waganga njaa katika vyumba vya uaandaaji vipindi.

Itv ijitafakali na ichukuwe hatua kuondoa utata wa baadhi ya watumishi wake kununuliwa na ccm. Tunahitaji balanced stories zenye facts siyo propaganda za ccm kutamalaki na kuiteka ITv as if hakuna vyama vingine vyasiasa tukifaham kwa wazi kabisa vipo vyama vinafanya vizuri na kwa ufanisi wahali ya juu lakini malipota na wahabarishaji wa Itv wanakuwa biased na wakereketwa wa hongo za ccm.

ITV ijitafakali upya iache mizengwe
 
Issue ni kwamba Mwigulu anazungumzia escrow wakati ipo mezani kwa bosi wake. Juzi Prof Lipumba kazungumza ccm ikamjia juu kuwa anaingilia dola ya ccm.

Tatizo hapa ni upumbavu wa waandaji taarifa za habari

1. Mwigulu anahubiri kushugulikiwa wezi wa ESCROW kama nani? Hii haikupaswa kabisa kuwa habari, kwasbabu hanamamlaka na suala hilo.

Kwa waandaaji makini wa taarifa bora za habari hawakupaswa kurusha upumbavu huo ambao dhahili nipropaganada na hadaa kwa wanachi na hivyo kuirusha niushenzi na umbumbumbu wa ITV news room preparation, Hakuna usanifu wala classfication ya habari bora na propaganda-

2. Suala la ESCROW lipo kwa kikwete ambaye ndiye anasubiriwa kufanya final decÍsion, huyu mwigulu anatoka wapi na majibu kabla bosi wake hajatowa maamuzi?

Itv iache kutumika kama chombo cha propaganda cha ccm kama zitumikavya TBC na Star Tv,

Mhusika mkuu yaan Joyce Mhavile afanye jitihada kuwachunguza na kuwabain akina G Gondwe wamekuwa wengi ndani ya ITV kiasi kwamba sasa ITV inageuka kuwa sehem ya uandaaji na urushaji wa propaganda na uzushi wa ccm. This cannot be accepted nor be toraleted at all.

We need balanced, well and properly quantified with quality news for all political parties.
 
Mengi kaingizwa matatani kuhusu Media yake kukazia issue ya ESCROW.
Anajaribu ku-apolojize kupitia media hyohyo.

Mkuu hapana, ccm niwahuni na mabingwa wa kununuwa waandishi wa habari.

Mimi nimeliona hili kwa mda mrefu sana kabla ya msukosuko wa ESCROW, wakati wa tukio na sasa imefikia peak

Nimekupa mpaka mfano wa vibaraka wa ccm wakongwe ni Godwin Gondwe na Ufo Saro hawa nimakada nguli wa propaganda za ccm pale ITV.

Kilichofanyika hivi sas nikuongeza wigo nahivyo idadi kubwa imenunuliwa ndiyo maana kinachoendelea sasa hivi ITV nikama yale yanayofanywa kwnye magazeti ya Uhuru, Habari leo, Mzalendo, Jambo leo na pia Star tv na kuleo kwao na ccm TBC.

ITV inahujumiwa na fedha za mafisadi wa ccm wakijijengea mazingira ya siasa uchwara, propaganda na kulazimisha kutotangazwa habari za wanasiasa wengine na ikitokea basi ni hovyohyo, picha za hovyo na ujumbe utarushwa kipande cha hovyo na kwa kukatakata.

Lazima mkurugenzi ajitafakali upya natimu yake otherwise ITV is sincking live as the outcame of implimenting ccm strategies. Time will tell.
 
Kumbe ITV ni maalum kwa chadema tu! siku zote wamekuwa mstari wa mbele kurusha habari za chadema muda mrefu hii leo moja ya Mwigulu imewatoa imani! dah! wachaga bana!
unasema ukweli,ila ile taarifa ililenga crip ya Mwingulu aliposema chama chao CCM kitawashughulikia watuhumiwa wa ESCROW - hio ndio ilikuwa sababu kubwa ya Mwigulu kupewa airtime nyingi
 
Mkuu hapana, ccm niwahuni na mabingwa wa kununuwa waandishi wa habari.

Mimi nimeliona hili kwa mda mrefu sana kabla ya msukosuko wa ESCROW, wakati wa tukio na sasa imefikia peak

Nimekupa mpaka mfano wa vibaraka wa ccm wakongwe ni Godwin Gondwe na Ufo Saro hawa nimakada nguli wa propaganda za ccm pale ITV.

Kilichofanyika hivi sas nikuongeza wigo nahivyo idadi kubwa imenunuliwa ndiyo maana kinachoendelea sasa hivi ITV nikama yale yanayofanywa kwnye magazeti ya Uhuru, Habari leo, Mzalendo, Jambo leo na pia Star tv na kuleo kwao na ccm TBC.

ITV inahujumiwa na fedha za mafisadi wa ccm wakijijengea mazingira ya siasa uchwara, propaganda na kulazimisha kutotangazwa habari za wanasiasa wengine na ikitokea basi ni hovyohyo, picha za hovyo na ujumbe utarushwa kipande cha hovyo na kwa kukatakata.

Lazima mkurugenzi ajitafakali upya natimu yake otherwise ITV is sincking live as the outcame of implimenting ccm strategies. Time will tell.
si kweli
 
Hebu muwe na hoja za 2015-2020 vision na sio kuitegemea hoja ya escrow kama mtaji wa chadema wakati kamati ya PAC ilisheheni wana ccm mahiri kama Filikunjombe,kigwangala,Lugora ambao ndio wamewabana walaji wale na CAG aliteuliwa na serikali ya ccm ambaye kaibua madudu haya sasa chadema mna sera gani mkiacha kudandia hoja ya escrow kama mtaji!?

Furaha yangu ni kwamba jamaa wameshaanza kukubali kuwa fedha za escrow kweli ziliibwa.
 
Hebu muwe na hoja za 2015-2020 vision na sio kuitegemea hoja ya escrow kama mtaji wa chadema wakati kamati ya PAC ilisheheni wana ccm mahiri kama Filikunjombe,kigwangala,Lugora ambao ndio wamewabana walaji wale na CAG aliteuliwa na serikali ya ccm ambaye kaibua madudu haya sasa chadema mna sera gani mkiacha kudandia hoja ya escrow kama mtaji!?

nkisoma comment zako huwa nakufananisha na condom feki iliyo pasuka wakat ukiliwa 0713 na ndio maana umenyimwa akili na ufahamu, naona umeongezewa dau maana speed yako siku hizi inakuja kwa kasi sana.
 
Kama sio kweli wewe toa maoni yako pia,hili ni jukwaa la majadiliano na una Uhuru wa kusema kule unachokiamini wewe au mtizamo wako kuhusiana na hili.lakini unapotoa jibu rahisi kwa hoja nzito sio sahihi
 
ndio maoni yangu kuwa si kweli, au ulitaka nikubaliane na wewe
 
My take:
Katika bunge lililomalizika kwa kashfa ya escrow account tulikuwa tunaoneshwa balanced story na hata ITV ikawa inarudia kutuonyesha usiku kwa wale ambao hawakubahatika kuliona mchana na jioni.

Sasa kulikoni ITV inageuka kuwa TBC 3???
Au ile ilikuwa sababu ya ugomvi kati ya mengi na muhongo? Na baada ya hapo mengi anarudi kundini!
Naomba tulijadili kwa kuchangia bila ugomvi.

Mkuu commonmwananchi njoo huku utueleze kuwa balanced story ikoje? na ITV kivipi hawajabalance hiyo story?
 
Amka na ujitambue.

Nchi nzima tunaelewa kwamba tunaelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kila mtanzania anapenda kujua hali halisi ya vyama vinavyonadi Sera zao kwenye kampeni zinazoendelea nchini kuelekea uchaguzi wa jumapili ijayo.

Hivyo chombo cha habari kinaporipoti habari ya chama kimoja(tena chama tawala),na kuviacha vingine wakati wa harakati kama hizi.ambapo vyama vyote viko katika ulingo mmoja,

Kumbuka vyama vyote ni vya watanzania na vina wafuasi wa kutosha nchini na ndio maana vina usajili wa kudumu.
Kwa hiyo ni vema ku-balance habari ili kuwajuza wananchi bila upendeleo.
ITV kwa muda mrefu kimejipambanua kuwa kituo pendwa kwa Hilo.
Lakini taratibu wananchi tunaanza kuwa na wasiwasi na wasimamizi na wahariri wa habari kwenye kituo hiki, kwani mambo ni ndivyo-sivyo.

Ni vema kulirekebisha hili kabla hawajasuswa na wananchi kama ilivyojitokeza sasa kwa TBC
 
hata mimi niliona lakini haikuwa na madhara kiasi cha kuja kujadili humu JF
 
Nahisi ITV huu uzi wameuona kwani nimefuatilia naona sasa wanakuja na ushauri wa humu ndani kidogo afadhali ngoja tuone leo na kesho siku ya mwisho ya kampeni itakuaje.
 
Nahisi ITV huu uzi wameuona kwani nimefuatilia naona sasa wanakuja na ushauri wa humu ndani kidogo afadhali ngoja tuone leo na kesho siku ya mwisho ya kampeni itakuaje.

Tumuombe mungu awape maono hao wasimamizi na wahariri wa ITV mkuu.:thumbup:
 
Back
Top Bottom