Kwa msiojua,kwenye suala la escrow Mwigulu Yuko pro ukawa na ameapa kwa position yake kuwashughurikia mafisadi wote. Mengi nae ana bifu na mafisadi WA escrow. Ndio maana Mwigulu anapata airtime ya kutosha ITV.
Pale ITV kuna kundi la watangazaji ambao kwa maana moja ama nyingine ni mapandikizi ya ccm, mfano
1. Godwin Gondwe
2. Ufo Saro
Nasasa wameongezeka wengine kwenyekundi wanalotumika kuipamba ccm na kupotezea harakati ya vyama vingine amkusudi hususan Cdm, Cuf na Nccr.
Sio Taarifa ya habari ya jana tu nimuda mrefu wanafanya ufisadi wa habari, isipokuwa kwa wachache ambao wakiwa zam hujitahidi kubalance.
Suala hapa sio R. Mengia, nijukum la Joyce Mhavile kuwachunguza haraka waandaji wa taarifa za habari ilikuwabaini wanaotumika kuihujum ITV nakushusha heshima na weledi wa kituo hiki.
Watanzania wanaimani na taarifa za habari kutoka kituo cha ITV,ccm wanafaham na wanatumia fulsa hiyo kupenyeza ushenzi wao kwa waandaaji kiasi kwamba Joyce Mhavile akifanya uzembe kidogo na teyari kesha jichafua atakuta heshima na umaarufu wa Itv unapotezwa kabisa na waganga njaa katika vyumba vya uaandaaji vipindi.
Itv ijitafakali na ichukuwe hatua kuondoa utata wa baadhi ya watumishi wake kununuliwa na ccm. Tunahitaji balanced stories zenye facts siyo propaganda za ccm kutamalaki na kuiteka ITv as if hakuna vyama vingine vyasiasa tukifaham kwa wazi kabisa vipo vyama vinafanya vizuri na kwa ufanisi wahali ya juu lakini malipota na wahabarishaji wa Itv wanakuwa biased na wakereketwa wa hongo za ccm.
ITV ijitafakali upya iache mizengwe
Acha upuuzi wewe Mtoto!!!
Mie kama wataendelea kukata makusudi habari za mkoa wangu ntaacha kuichukulia studio hii kama mwanzo na wala siwezi kuipenda ..kama ni sera ibadilishwe vinginevyo mnaanza kutukera watizamaji wenu
WAMERUDIA TENA LEO:
Kama Jana, leo tena kama Jana. Ila leo wameripoti pumba toka rorya.
Wanamuonyesha yule mbunge wa rorya mr std 7.akidai kwamba kuna watu wamejiandikisha toka nchi jirani ya Kenya. Kwa ajili ya kuwapigia kura neugu zao huku.kwetu
Kwa kuwa ITV inamilikiwa na mchaga basi mlitaka itangaze habari za chadema tu! how pathetic!
Mtahaha sana na kila chombo cha habari mtakitwika lawama lakini haisaidii, kama vipi muangalie TBC au mfungu channel yenu.
This is not the case, if one broadcast of an election news that constitutes of many political parties, a balanced story is what we need.
we are not interested on biased stories, as it happens now.
So it's this particular time perspectively you find ITV to be bias? i can't believe what i'm just reading!
Pale ITV kuna kundi la watangazaji ambao kwa maana moja ama nyingine ni mapandikizi ya ccm, mfano
1. Godwin Gondwe
2. Ufo Saro
Nasasa wameongezeka wengine kwenyekundi wanalotumika kuipamba ccm na kupotezea harakati ya vyama vingine amkusudi hususan Cdm, Cuf na Nccr.
Sio Taarifa ya habari ya jana tu nimuda mrefu wanafanya ufisadi wa habari, isipokuwa kwa wachache ambao wakiwa zam hujitahidi kubalance.
Suala hapa sio R. Mengia, nijukum la Joyce Mhavile kuwachunguza haraka waandaji wa taarifa za habari ilikuwabaini wanaotumika kuihujum ITV nakushusha heshima na weledi wa kituo hiki.
Watanzania wanaimani na taarifa za habari kutoka kituo cha ITV,ccm wanafaham na wanatumia fulsa hiyo kupenyeza ushenzi wao kwa waandaaji kiasi kwamba Joyce Mhavile akifanya uzembe kidogo na teyari kesha jichafua atakuta heshima na umaarufu wa Itv unapotezwa kabisa na waganga njaa katika vyumba vya uaandaaji vipindi.
Itv ijitafakali na ichukuwe hatua kuondoa utata wa baadhi ya watumishi wake kununuliwa na ccm. Tunahitaji balanced stories zenye facts siyo propaganda za ccm kutamalaki na kuiteka ITv as if hakuna vyama vingine vyasiasa tukifaham kwa wazi kabisa vipo vyama vinafanya vizuri na kwa ufanisi wahali ya juu lakini malipota na wahabarishaji wa Itv wanakuwa biased na wakereketwa wa hongo za ccm.
ITV ijitafakali upya iache mizengwe
Pale ITV kuna kundi la watangazaji ambao kwa maana moja ama nyingine ni mapandikizi ya ccm, mfano
1. Godwin Gondwe
2. Ufo Saro
Nasasa wameongezeka wengine kwenyekundi wanalotumika kuipamba ccm na kupotezea harakati ya vyama vingine amkusudi hususan Cdm, Cuf na Nccr.
Sio Taarifa ya habari ya jana tu nimuda mrefu wanafanya ufisadi wa habari, isipokuwa kwa wachache ambao wakiwa zam hujitahidi kubalance.
Suala hapa sio R. Mengia, nijukum la Joyce Mhavile kuwachunguza haraka waandaji wa taarifa za habari ilikuwabaini wanaotumika kuihujum ITV nakushusha heshima na weledi wa kituo hiki.
Watanzania wanaimani na taarifa za habari kutoka kituo cha ITV,ccm wanafaham na wanatumia fulsa hiyo kupenyeza ushenzi wao kwa waandaaji kiasi kwamba Joyce Mhavile akifanya uzembe kidogo na teyari kesha jichafua atakuta heshima na umaarufu wa Itv unapotezwa kabisa na waganga njaa katika vyumba vya uaandaaji vipindi.
Itv ijitafakali na ichukuwe hatua kuondoa utata wa baadhi ya watumishi wake kununuliwa na ccm. Tunahitaji balanced stories zenye facts siyo propaganda za ccm kutamalaki na kuiteka ITv as if hakuna vyama vingine vyasiasa tukifaham kwa wazi kabisa vipo vyama vinafanya vizuri na kwa ufanisi wahali ya juu lakini malipota na wahabarishaji wa Itv wanakuwa biased na wakereketwa wa hongo za ccm.
ITV ijitafakali upya iache mizengwe
Kumbe ITV ni maalum kwa chadema tu! siku zote wamekuwa mstari wa mbele kurusha habari za chadema muda mrefu hii leo moja ya Mwigulu imewatoa imani! dah! wachaga bana!