Haya niliyajua mapema. Natambua kuwa nilishaubeba msalaba huu, nitaendelea kuubeba kwa niaba yenu. Mbona mara ya kwanza walinikamata harakaharaka? Mbona Utamu wanamwacha? Au kwakuwa ana udugu na kiongozi wa juu ndani ya Chama tawala?
Wana JF, nitabeba msalaba huu kwa niaba yenu. Nipo tayari! I will never disclose anyone and after all, I know none. I know your JF nicks and do not know who exactly are you! You can't compare JF with Utamu. Muhimu ni watu kuwa makini, wenye dhamira ya kuchafua ndo wameongezeka kadiri siku za uchaguzi zinavyokaribia.
Thanks to God, ndo nimeacha kazi rasmi nilikokuwa nimeajiriwa na kuwa dedicated kwa ajili ya maendeleo ya JF. Once they need me, they know where to find me and how to reach me. I'm not Invisible, am not Mwanakijiji and am not Rev. Kishoka etc, am Maxence.
Sijui ni wapi tunaelekea Tanzania!