Mungu wangu.Nimeangalia hiyo link ya TBC hapo looool...ina maana hata huyo mtangazaji aibu haoni?..Habari ziko waaazi na zinaoneshwa lakini yeye hazisomi ....jamani tunaelekea wapi?.....hao TCRA wako wapi?au TBC wana impunity?...yaani anasoma habari za CCM tu na mbaya zaidi anasema ndizo zilizopewa kipaumbele cha juu!!!....kwenye majira kasoma hiyo habari ya chini hapo ya CCM........kwenye Nipashe hiyo pg ya kwanza hajasoma kasoma pg2/3 afu anarudia hivohivo bila aibu kuwa ndizo habari zilizopewa kipaumbele katika hayo magazeti?!!!? TCRA mpo wapi?Watch "TBC ikidanganya LIVE leo tarehe 15.08.2015" on YouTube - https://youtu.be/6YKRs2dTgZw
Mbona TBC wao hawaogopi?