ITV jamani, mmenunuliwa?

ITV jamani, mmenunuliwa?

Hii ni tv ya taifa tunayotegemea maana tbc tunayolipia ishalanguliwa.
 
Hata mmi nashangaaaa, make hata ukawa arusha na mbeya hawakuinyesha kabisa, mwanza napo ni mwishoooni na pia rasharasha tu, wametishwa hawa watu, kidogo #azamtv wanajitahid ila nao wamepigwa pini kile kipind chao cha kituo cha uchaguz, hakionekani saiv ni shidaaa,
 
Back
Top Bottom