Itv nao wamekuwa wapuuzi tu.
Any way whatsapp, facebook, instagram, twitta , jf sms, calls n.k
Vitatumika kuikomboa Tanzania
Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.
Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.
Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?
Au kuna nn?
Wanajua sasa habari zinazopendwa ni za Ukawa hata wakitishwa vp watazitangaza tu.

Nafikiri ni baada ya kugundua kuwa siku hizi watazamaji hawataki kuangalia habari nyingine zozote, hivyo ili kuendelea kupata wateja ni lazima kuweka kitimtimu cha UKAWA mwishomwisho ili ingalau watu waone na habari zingine. Siku hizi habari ya UKAWA ikiisha tu watu wanatawanyika so big up ITVInakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.
Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.
Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?
Au kuna nn?
Sijamuona wa kuipa onyo ITVWaliandikishwa barua ya onyo
Anza kukomboka wewe,ulie nunuliwa