kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 343
bao la mkono hilo linatafutwa
Kimsingi itv kwa sasa wanachagua habari za kusoma na kutangaza ba wanakwepa habari za ukawa na chadema juu mikutano ya utambulisha wa mtia nia wa uraisi Ukawa
VIONGOZI WA ITV TNASHUKURU KWA USALITI WENU.
Aksanteni sana
hivi ni lini tanzania kutakua na uhuru wa vyombo vya habari maana tulikua tunaitegemea sana itv kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku kwa navyoona sasa mmeanza kuogopa kusoma habari za ukawa na lowasa pia mnaiweka taarifa mwishoni wakati ndiyo headline kwa sasa kwa nini kuweni wazi mmetishia mtafungiwa au maana iyo tbc star tv chanel ten habar n ccm tuu azam wanakuja kuja kwa mbali ..ebu tupen habar itv msiiogope ccm
Hatimaye wamesoma mwishoni...lol ITV afadhali, channel ten hovyo, tbc ndo limetoboka kabisa... star tv sitashangaa
nyie watu wacheni mzaha. nchi haikombolewi kwa kuikabidhi kwa wafanyabiashara fisadi.Itv nao wamekuwa wapuuzi tu.
Any way whatsapp, facebook, instagram, twitta , jf sms, calls n.k
Vitatumika kuikomboa Tanzania
Hatimaye wamesoma mwishoni...lol ITV afadhali, channel ten hovyo, tbc ndo limetoboka kabisa... star tv sitashangaa
Mfano umemualika Chris Brown kwenye tamasha hapa bongo,huwa kuna wasanii wakuwatanguliza kama akina Ally kiba,Diamond na wengineo halafu baadaye mwishoni unamleta Brown mwenyewe!Sasa ukianza na Chris Brown,akimaliza kutumbuiza watu wengine watasepa zao!Ndio kama Habari,siku hizi watu wanajaa kupata habari za ukawa,ukianza nazo watu wataondoka so ili wabaki mpaka mwisho inabidi uiweke mwishoni!
Mimi ningekuwa ITV ningetangaza kuisoma habari ya Ukawa baada ya Habari za Michezo,hahaahhhaaaa!
Nikwamba hawa hajanunuliwa ila kinacho tokea ni kwamba taarifa za ukawa zikitangulizwa kwenye habari watu wakisha tizama huwa hawaendelei tena kusikiliza habari.
hivyo wameona habari za ukawa ziwe za mwisho. ili angalao watu watizame. taarifa hdi mwisho.
watangaze wa kwanza ili mkishamsikia mzee wa mafuriko mfanye km mlivyomfanyia Mkulu kule tunduma Ze Komedi waliposhuka mkamwachai mkutano wake..IT wanataka mbakie ktk TV haki kila kitu ipite ikiwepo matangazo yanayolipia hiyo habari yako.By the way wewe si wale wanaokula nyama huku wakifanya timing na ugali nao uishe pamoja?Hilo ni somo makini wanalojifunza wanafunzi bila kupewa syllabus.Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.Vipi itv mmenunuliwa?Mmetishwa?Au kuna nn?