Hivi ni lini tanzania kutakua na Uhuru wa vyombo vya habari maana tulikua tunaitegemea sana ITV kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku kwa navyoona sasa mmeanza kuogopa kusoma habari za ukawa na lowasa pia mnaiweka taarifa mwishoni wakati ndiyo headline kwa sasa kwa nini kuweni wazi mmetishia mtafungiwa au maana iyo TBC star tv Chanel ten habar n ccm tuu azam wanakuja kuja kwa mbali ..ebu tupen habar ITV msiiogope ccm
Unajua ile habari ambayo inauza lazima iwe mwisho ili usikilize na kutazama hizo zingine kwanza yaani namaanisha kizuri kinajiuza kibaya chajitembeza,hivyo UKAWA habari zao ndio kiu ya watanzania wote na dunia kwa jumla
Sio kama wanaogopa isipokuwa habari kutoka mikoani huchekeweshwa kutoka kwa waandishi, pata picha mkutano unaisha saa 12 then muandishi aedit na kutuma kwa email Dar ni process ndefu.Huenda taarifa zingine zilishawekewa headline bt kutokana na kuchelewa kwa habari hiyo ya Lowassa ikawekwa kama extra.Tuwe wavumilivu mkuu.

Habari za Lowassa zinakuwa za mwisho ili watu waangalie habari zingine. Manake wamefanya utafiti na kugundua kwamba watu wakishaangalia habari za Lowassa wanaondoka hawaangalii habari zingine