emma shayo
Member
- Apr 10, 2015
- 78
- 16
Angalia kwa sasa wanajielewa ITV kuliko kufanya ktk hali ya uchochezi mpaka wazalendo tukapendekeza ifungwe hadi uchaguzi uishe anyway waendelee kuwa neutral.
Fafanua

Watu hata siyo waelewa aisee. Sijui elimu ndogo. Yaani mkutano umeisha saa 12 halafu mtu anataka habari iwe ya kwanza.
Habari za Lowassa zinakuwa za mwisho ili watu waangalie habari zingine. Manake wamefanya utafiti na kugundua kwamba watu wakishaangalia habari za Lowassa wanaondoka hawaangalii habari zingine
Hamia redio 5, arusha hawogopi..
Habari za Lowassa zinakuwa za mwisho ili watu waangalie habari zingine. Manake wamefanya utafiti na kugundua kwamba watu wakishaangalia habari za Lowassa wanaondoka hawaangalii habari zingine
Hivi ni lini tanzania kutakua na Uhuru wa vyombo vya habari maana tulikua tunaitegemea sana ITV kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku kwa navyoona sasa mmeanza kuogopa kusoma habari za ukawa na lowasa pia mnaiweka taarifa mwishoni wakati ndiyo headline kwa sasa kwa nini kuweni wazi mmetishia mtafungiwa au maana iyo TBC star tv Chanel ten habar n ccm tuu azam wanakuja kuja kwa mbali ..ebu tupen habar ITV msiiogope ccm
haaaahaaaa imenichekesha sana mkuu!Watch "TBC ikidanganya LIVE leo tarehe 15.08.2015" on YouTube - https://youtu.be/6YKRs2dTgZw
Mbona TBC wao hawaogopi?
Habari za Lowassa zinakuwa za mwisho ili watu waangalie habari zingine. Manake wamefanya utafiti na kugundua kwamba watu wakishaangalia habari za Lowassa wanaondoka hawaangalii habari zingine
Sio kama wanaogopa isipokuwa habari kutoka mikoani huchekeweshwa kutoka kwa waandishi, pata picha mkutano unaisha saa 12 then muandishi aedit na kutuma kwa email Dar ni process ndefu.Huenda taarifa zingine zilishawekewa headline bt kutokana na kuchelewa kwa habari hiyo ya Lowassa ikawekwa kama extra.Tuwe wavumilivu mkuu.
Hivi ni lini tanzania kutakua na Uhuru wa vyombo vya habari maana tulikua tunaitegemea sana ITV kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku kwa navyoona sasa mmeanza kuogopa kusoma habari za ukawa na lowasa pia mnaiweka taarifa mwishoni wakati ndiyo headline kwa sasa kwa nini kuweni wazi mmetishia mtafungiwa au maana iyo TBC star tv Chanel ten habar n ccm tuu azam wanakuja kuja kwa mbali ..ebu tupen habar ITV msiiogope ccm
Kweli kabisa kunasehmu nilikuwa siku moja baada ya tarifa ya ukawa watu wakatoka nje wakasema wamesha angalia abara ya tanzania ninawashauri waendeleye kuiweka ya mwisho ili watu wengi waangalie tarifa nyingine maana ikiwa ya kwanza ata mimi inaweza nifanya nisiangaliye habari nyingine kwa umakini!!Habari za Lowassa zinakuwa za mwisho ili watu waangalie habari zingine. Manake wamefanya utafiti na kugundua kwamba watu wakishaangalia habari za Lowassa wanaondoka hawaangalii habari zingine
Mtaisoma namba , nyie msioijua CCM.Hivi ni lini tanzania kutakua na Uhuru wa vyombo vya habari maana tulikua tunaitegemea sana ITV kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku kwa navyoona sasa mmeanza kuogopa kusoma habari za ukawa na lowasa pia mnaiweka taarifa mwishoni wakati ndiyo headline kwa sasa kwa nini kuweni wazi mmetishia mtafungiwa au maana iyo TBC star tv Chanel ten habar n ccm tuu azam wanakuja kuja kwa mbali ..ebu tupen habar ITV msiiogope ccm