Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.
Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.
Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?
Au kuna nn?
mamlaka ya juu
Nilmsikia asee tena alitoa macho balaa kuonyesha anamaanisha anachokiongeaHalafu kuna mwenyekiti wa CCM Motogoro vijijini amesema watashinda kwa gharama yo yote. Sijui alimaanisha nini?
Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.
Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.
Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?
Au kuna nn?
JK amemuomba Mengi amsaidie kupooza mashambulizi ... Channel 10 wamepewa mshiko wa kutakata ... bahati mbaya sana wananchi hawana muda nao wanajua cha kufanya coming October 2015
Nionavyo mimi wanatumia mbinu za kibiashara tu
Habari moto (hot news) implies mwisho lakini zingine zote zingine zote pamoja na matangazo zionekane na wengi. Au unasemaje