ITV jamani, mmenunuliwa?

ITV jamani, mmenunuliwa?

Unajua ile habari ambayo inauza lazima iwe mwisho ili usikilize na kutazama hizo zingine kwanza yaani namaanisha kizuri kinajiuza kibaya chajitembeza,hivyo UKAWA habari zao ndio kiu ya watanzania wote na dunia kwa jumla
 
Tatizo mkishaangalia habari za ukawa mnaondoka, hamna namna tena inabidi ziwe za mwisho baada ya habari za michezo
 
ITV ni CCM B, skuizi ukiangalia ni JK tu na upumbavu wa magufuli nimechoka ata kusikiliza taarifa za habari, ITV ilikuwa TV pekee ninayoangalia saiv nimeacha.
 
Ukawa imekuwa kama ze comed yaani ikiisha tu watu wanaondoka kwenye TV na wengine wanabadilisha channel
 
Tatizo mkishaangalia habari za ukawa mnaondoka, hamna namna tena inabidi ziwe za mwisho baada ya habari za michezo

Mfano umemualika Chris Brown kwenye tamasha hapa bongo,huwa Luna wasanii wakuwatanguliza kama akina Ally kiba,Diamond na wengineo halafu baadaye mwishoni unamleta Brown mwenyewe!Sasa ukianza na Chris Brown,akimaliza kutumbuiza watu wengine watasepa zao!Ndio kama Habari,siku hizi watu wanajaa kupata habari za ukawa,ukianza nazo watu wataondoka so ili wabaki mpaka mwisho inabidi uiweke mwishoni!
Mimi ningekuwa ITV ningetangaza kuisoma habari ya Ukawa baada ya Habari za Michezo,hahaahhhaaaa!
 
Iwe hivi,habari za kitaifa,habari za kimataifa,habari za biashara,habari za michezo,utabiri wa hali ya hewa na kipima joto,HABARI ZA UKAWA!
Hahaaaaaaaaaa!
 
Ilipaswa iwe ya kwanza kwa kweli! tupo kweli uchaguzi mood!

Watu wasihemuke sana,habari haiandaliwi kwa dakika tano au kumi,inachukua muda kuiandaa taarifa yote,habari zinaandaliwa jiinsi zinavyomiminika chumba cha habari unaweza kukuta habari ya saa mbili usiku inaanzwa kuandaliwa tokea saa 10 tuseme,habari ya mafuriko ya UKAWA Arusha ililetwa zaidi ya saa 12 jioni,maana ndo mkutano uliisha pale viwanjani,kwa vyovyote ile habari ilikuwa ya mwishomwisho kwa leo,na wasingeipeleka kabla ya hotuba ya mgombea uraisi ambayo iliisha pale site saa 12 kamili,tunatakiwa tuwashukuru sana kwa kuthubutu kufanya lililowashinda wengine big up ITV DAIMA MBELE
 
Pia Radio One kwenye taarifa ya saambili na saa4 usiku huu hawajatangaza kabisa habari za UKAWA na Lowassa huko Arusha. Kulikoni?
 
Mfano umemualika Chris Brown kwenye tamasha hapa bongo,huwa Luna wasanii wakuwatanguliza kama akina Ally kiba,Diamond na wengineo halafu baadaye mwishoni unamleta Brown mwenyewe!Sasa ukianza na Chris Brown,akimaliza kutumbuiza watu wengine watasepa zao!Ndio kama Habari,siku hizi watu wanajaa kupata habari za ukawa,ukianza nazo watu wataondoka so ili wabaki mpaka mwisho inabidi uiweke mwishoni!
Mimi ningekuwa ITV ningetangaza kuisoma habari ya Ukawa baada ya Habari za Michezo,hahaahhhaaaa!

Bha! We ndio umetoboa sufuria kabisa.
 
Tatizo UKAWA ni ya watu flani hivi..emotional...mbona CCM wadau wake hatupigi kelele juu ya vyombo vya habari,siku zote kwa mwoga ni kilio shujaa mwendo kicheko,mnataka recognition hata kama haiitajiki kwa wakati huo(moja ya ishara za watu mafisadi),yani mnalaumu ata kama hamna hali ya kulaumu...bado wachanga sana kisiasa!
 
siku hiz wanatangaza mwisho kabisa manake habar ya ukawa ikiwa ya kwanza watu wanabadili chanel wanaweka cartoon network....
 
Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.

Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.

Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?

Au kuna nn?
Bavicha muache ujinga mbona mimi nimeiona hiyo habari ya Lowasa tena ilikuwa ya pili kutoka mwisho? Kwanini mna kurupuka?
 
Wanaonesha mwisho kwa kuwa UKAWA ndiyo habari ya mjini hivyo kama ikiwa ya kwanza manake taarifa zinazofuata hazitaangaliwa
 
Nashangaa...hata chanel ten hawajatangaza kabisa...
Bavicha wengi ni mzigo...
Kama hamjawalipa unategemea watangaze bure?

Vyombo vya habari vyote vya tanzania kwisha habari zao. Zimejiunga kwenye ukoo wa panya

Wamezuiwa kabisa na mamlaka ya juu kusoma habari za wapinzani. Hii ndiyi Tanzania.

Itv nao wamekuwa wapuuzi tu.
Any way whatsapp, facebook, instagram, twitta , jf sms, calls n.k
Vitatumika kuikomboa Tanzania

Watakuwa wamenunuliwa si bure,hapa naangalia itv tukio la arusha juu ya ukawa hakuna

Back
Top Bottom