PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,178
bahati mbaya safari hii "fisadi" ndio anakuwa rais wenu, lazima mkimbie nchi, wapuuzi wakubwa nyie!
kamanda wasamehe maana ihi ni misukule ya chama.
bahati mbaya safari hii "fisadi" ndio anakuwa rais wenu, lazima mkimbie nchi, wapuuzi wakubwa nyie!
Watangaze wasitangaze kichinjio ninacho
Watakuwa wamenunuliwa si bure,hapa naangalia itv tukio la arusha juu ya ukawa hakuna
Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.
Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.
Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?
Au kuna nn?
Naona maigizo ya abood na ccm

Ilipaswa iwe ya kwanza kwa kweli! tupo kweli uchaguzi mood!
Halafu kuna mwenyekiti wa CCM Motogoro vijijini amesema watashinda kwa gharama yo yote. Sijui alimaanisha nini?
Swagazetu,unafanya makosa kuwalaumu au hata kuwatilia shaka ITV. Ukweli ni kwamba ITV wanafanya kazi kubwa na nzuri kwa Taifa kuliko kuliko kituo chochote cha TV kwa sasa.
Kwa sasa UKAWA na Lowasa ndio habari pekee inayotawala Taifa. Watu wengi hufungulia ITV wakitarajia kusikia mapya ya UKAWA,utakapoiweka Taarifa ya UKAWA kama habari kuu na ukaanza nayo,tarajia taarifa nyingine kutowafikia walengwa kama ilivyokusudiwa.
Kwa sasa uhalisia unaonyesha kwamba ikimalizika taarifa ya UKAWA na Lowasa watu wote wanasambaa na kuendelea na Shughuli zao. Hata ungelikuwa ni wewe ungetafuta mbinu tofauti,na mbinu rahisi zaidi ni kuiweka mwishoni taarifa inayosubiriwa na wengi.
ITV WAPO SAHIHI!
Halafu kuna mwenyekiti wa CCM Motogoro vijijini amesema watashinda kwa gharama yo yote. Sijui alimaanisha nini?