ITV jamani, mmenunuliwa?

ITV jamani, mmenunuliwa?

Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.

Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.

Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?

Au kuna nn?

nawasifu sana Itv wanavunga hawataonyesha ukawa ila mwishoni taarifa ukawa imechukua dakika 5
 
Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.

Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.

Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?

Au kuna nn?

Usiwe obsessed kiasi hicho jaribu kushirikisha kichwa, Azama taharifa yao ya kwanza ilikuwa ni kutoka Arusha na Clouds taharifa yao ya mwisho ilikuwa ya Arusha ..habari ni habari haijarishi ni ya kwanza ama ya mwisho wewe kikubwa chukua habari wahi time zako mengine ni kelele tu
 
Habari zimetangazwa tena kwa kina ITV .
Angalieni habari za kitaifa mpaka mwisho.
UKAWA ndio habari inayouzika itv wanaiweka mwisho ili muabgalie habari zote.
 
Hujawaelewa ITV,habari za ukawa kwa kuwa zinakuwa ndefu sana basi huwekwa mwishoni!Hii pia ni mbinu nzuri ya kuneutralize habari zilizotangulia!Mfano habari ile JK na wizara ya ujenzi haikudumu kwenye fikra za watu Mara baada ya habari ya mafuriko kutangazwa!Mimi naona ni sawa tu
 
Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.

Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.

Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?

Au kuna nn?
ITV Wamechimbwa biti na TCRA maana juzi tar10kuna mtangazaji wao aliyewaingiza chaka kuhusu maandamano ya UKAWA. Tangu siku hiyo wanaripoti habari za UKAWA kimachale na wameshaomba radhi TCRA mara nyingi sana. Naomba mwenye jina la huyo mtangazaji aliyechemka naomba anisaidie tafadhali.
 
Jaman itv wanaweza wakawa na mantiki koz wakianza na taarifa za ukawa watazamaj wanabadil station nakufatilia vitu vngne ndo maana wanaziweka mwisho ili muangalia na taarifa zngne

We umeongea point, mwanzo ilipokuwa inasomwa habari ya ukawa ikishaisha watu hawasubiri habari nyingine muhimu wanasepa ndo maana wameisogeza mwishoni kbs.
 
mkuu wameonesha ila kiunafikinafiki sana mwishooooo loh
Hapana mkuu,tunaiweka mwisho kutokana na umuhimu wake,inabidi tuipe muda wa kutosha,vilevile tunataka watazamaji waendelee kuwa karibu na runinga zao muda wote wa taarifa ya habari,tunajua watu wengi hata wasio na mazoea ya kuangalia tv leo wataangalia kwa sababu ya tukio hili la kihistoria,ukiionyesha mwanzoni watu wataacha kuangalia habari zitakazofuata!!na lengo letu ni watu wengi zaidi waendelee kuitazama Itv,please,ENDELEA KUITAZAMA ITV,ENDELEA KUIAMINI ITV,kituo bora zaidi cha matangazo Tanzania
 
Inakuwaje Itv taarifa zinazohusu Ukawa hazitangazwi ama zinatangazwa mwishoni kabisa.chanel zingine hatusemi naana tunajua startv na tbccm ni makada.

Chanel iliyokuwa imebaki ni Itv sasa napata hofu kuanzia jumanne taarifa za ukawa zikobmwishoni au hazisomwi kabisa.

Vipi itv mmenunuliwa?
Mmetishwa?

Au kuna nn?
Kuna kitu nililiangalia, watu wengi wanasubiri habari ya Lowasa ikiisha wanaanza kuijadili na taarifa zingine hawasikilizi,nafikiri wanafanya hivyo ili watu waangalie taarifa zote ya kitaifa.
 
Mfano umemualika Chris Brown kwenye tamasha hapa bongo,huwa Luna wasanii wakuwatanguliza kama akina Ally kiba,Diamond na wengineo halafu baadaye mwishoni unamleta Brown mwenyewe!Sasa ukianza na Chris Brown,akimaliza kutumbuiza watu wengine watasepa zao!Ndio kama Habari,siku hizi watu wanajaa kupata habari za ukawa,ukianza nazo watu wataondoka so ili wabaki mpaka mwisho inabidi uiweke mwishoni!
Mimi ningekuwa ITV ningetangaza kuisoma habari ya Ukawa baada ya Habari za Michezo,hahaahhhaaaa!
 
Pressure ni kubwa sana. Wakati mwingine tuwasamehe.
 
Magazeti yanatosha

Kuna video clip inasambaa mitandaon ikimuonyesha Mtangazaji wa TBC akipata taabu wakati wa kusoma magazeti vichwa vya habari kuhusu LOWASSA na UKAWA alikuwa anaruka huku ana tremble, hadi aibu! Chombo cha habari cha namna hii ni shuda kubwaaaa. BBC pekee ndo huweza kutangaza bila biasness ya dhahiri, lakini kwa Bongo ni sheeedaaaaah
 
Back
Top Bottom