ITV bakizeni akiba ya ushabiki

ukiangalia tbc ukasoma uhuru lazima udumae kiakili
 
Ni kweli kabsa ile kamati ya CCM imejaa watu wa Ukawa wengi mmoja wao ni Kinana ambaye amegutuka kuwa chama kinawafia kaamua kuomba suluhu mapema.

Huo ndio ukweli ila kwa uzuzu wa ma pro ccm wanachekelea tu kama vichaa
 
Ni kweli kabsa ile kamati ya CCM imejaa watu wa Ukawa wengi mmoja wao ni Kinana ambaye amegutuka kuwa chama kinawafia kaamua kuomba suluhu mapema.

CCM haijawahi hata kuzimia na haitakufa inamisingi imara isiyotetereka siyo ya mwaka 1 kama ukawa
 
Ukiambiwa kuwa ni mjinga unakasirika,hivyo kwenye huo uoza wenu mliopanga jana kuna MTU mgani wa kuutetelesha ukawa?sana sana wamejaa watu wa ukawa na kila mtakacho kipanga mchana usiku kinafika ukawa,endelea kujidanganya

Mngekuwa Mna AKILI Na MMEJIZATITI Basi Msingeacha Hadi Simu Zake Zote Lowassa Na Wafuasi Wake Tena Wa Karibu Zipo Monitored 24/7 Na ANASANIFIKA Mno Na Wazee Wa Kazi. au Mnataka Sasa Tutegeshe Kama Alivyotegeshewa Savimbi Kisha Ibaki MIFUPA Na MAFUVU Kisha Ndiyo Muyapigie Kura? au Nikutajie Hapa Hapa Hadharani Watu Wetu Wa Kazi Ambao Wako Penetrated Na Seconded Kwenu CHADEMA / UKAWA?
 

Aagh! Tena unarudia yale maneno ya kisanii! Eti "mfumo" Kwani mfumo ni jengo au miti? Mfumo ni watu, na watu wenyewe wanaolalamikiwa ndio hao waliohamia chadema! Sasa huo mfumo umebaki wapi, ccm au chadema iliyonunuliwa? Be raelistic!
 

Duh, matusi hayo kaka. Msamehe. Bakiza matusi ya ziada utakapokuwa na hasira baada ya kushindwa october 25. Aahhaahh, ivi wewe kweli uko upande gani? Kuliaaa au kushoto? Sooorrry
 
Una lolote la kusema juu ya hawa wapuuzi wa TBC wanaolipwa na kodi zetu, ITV hawatumii kodi zetu
<font size="3"><span style="font-family: arial">
 
Last edited by a moderator:

Nakuonea huruma sana bwana mdogo,hao wazee wa kazi unao wataja hata ndani ya ukawa wamejaa na wanalipwa na serikali yako,ila kwa kuwa uwezo wako wa kuchanganua ni mdogo
 
Hivi TBC wanaonyesha mikutano ya UKAWA? tuanze na hao kwanza maana TBC inaendeshwa kwa kodi za hata wana UKAWA kuliko ITV ambayo ni biashara ya mtu binafsi.

TBC nao wabadilike. Ubaguzi sio mzuri. Onyesha taarifa za pande zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…