Its officially OVER Erick!

Judgement, mie sina tatizo Amyner kuwa mke mwenzangu, namheshimu kama bi mkubwa, ila akiamua kususa mie nitamsaidiaje jamani? Na anamujua Erickb52 wetu udhaifu wake.....

Heri avumilie, ndo ina kupanda na kushuka, ila
akisusa shauri yake, mie simuachi b52 ng'ooooooooo......


 
Last edited by a moderator:
Amyner mylove
Come this way....!
 
Last edited by a moderator:
Wherever you r...
Amyner wajua namna gani nakupenda,wajua tulikotoka...penzi letu sio la kuyumbishwa kirahisi namna hiyo...
I real love you na hao wanaokupa maneno sio wema,simama imara kulinda penzi letu,humu hawatatusaidia lolote zaidi ya kutuvuruga..come down tuimarishe penzi letu.
Love you bby..
 

Mi like hiyo definition ya chit chat
 
mama ninakutafuta leo siku ya pili,ujumba wangu umeota pembe,kifupi umenishinda hapa tayari ninataraka mkono iliyoandikwa kwa markpen,nakusubiri wewe tu ili uidhinishe,hakuna cha harus tena,mwanao ntakufa

Nani kaleta balaa ni TANMO huyo. mwanangu usijali mke ni wako ngoja nianze maombi.
 

Mh kweli kikulacho ki nguoni mwako!
Amyner ni wangu daima wala usidhani tumeachana,ni hasira tu na wivu
 
Last edited by a moderator:

..usisikilize ya watu mama tutagombanaa we...mapenzi ni kuvumiliana usimwache kaka angu huyu is so palatable
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…