SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,767
Tutavuka daraja tutakapolifikia.
Hatoweza hata kwa mfano, hata yeye anajua.Ni dhahiri shayiri kuwa uchaguzi huu umekuwa mgumu sana kwa CCM kuliko miaka yote. Mwaka 95 ulikuwa mgumu ila hayati Mwl. Nyerere alikuwepo kuokoa jahazi, na mwaka 2015 ulikuwa mgumu ila Mkapa alikuwepo kuokoa jahazi.
Mwaka huu sijaona wa kuokoa jahazi, hata hao wastaafu waliingizwa kwenye kampeni wamekosa mvuto tofauti na ilivyotarajiwa.
Swali langu ni kuwa: Itakuwaje kama Lissu akashinda kisha akakosa kupata wabunge wa kutosha? Si CCM wataamua kumkwamisha?
Haya uliyoandika hapa yanakipa uhalali chama cha CCM kufanya wanayoyafanya.Swali zuri. Vunja Bunge juma hilo hilo. Tayarisha Tume huru. Tayarisha uchaguzi mpya wa Wabunge. Kamilisha katiba ya wananchi. Nchi inaendelea. The rest will be history!
Watu wawili hawawezi kuwa ndiyo maoni ya Karatu nzima. Hao ni makada wa ccm
Sikiliza ndugu hatakama unaHilo la wauza unga usiliweke that is the way too far. Labda uniambie kuna drugs lod wanashirikiana na Lisu au nimtuwao. Lakini ukweli utabaki palepale Magufuli atafanya wanders katika uchaguzi huu na kuweka historia yake. Leo nimewasikia watu kule Karatu wanaomba kama itawezekana JPM akimaliza mi5 apewe mingine ya asante. Ni mahaba na imani kubwa kwake.
Duu niko live hapa na TBC baada ya dakika tano tu Magufuli amekutana na nyomi lingine la wananchi. Yuko njiani anaelekea Babati Mjini. Kwasasa yuko mji wa Magugu. Kwakweli haya ni Mahaba kwelikweli.Sasa kama unayomatokeo hayo nenda ushirikiane na natume mtutangazie ulikuwa unauliza nini wakati matokeo unayo usiwe kama shehe wa dar kumbe hakuchaguliwa alijichaguwa nawewe umepika matokeo
Nasikia kinyaa kukusoma huu ujinga wako wanafata music nawasanii maarufu kama unanyomi kwanini vikwazo lukuki mara kutekwa mazurui mnapigwaSikiliza ndugu hatakama una
Duu niko live hapa na TBC baada ya dakika tano tu Magufuli amekutana na nyomi lingine la wananchi. Yuko njiani anaelekea Babati Mjini. Kwasasa yuko mji wa Magugu. Kwakweli haya ni Mahaba kwelikweli.
Mhhh and duh this are Tanzania youth.... HahahahahaahThere will be new elections for those 28 seats which went unopposed to start with and then we shall see how things will be after that.
I believe chadema will win over 100 seats in these elections and there will be another nominated seats of 10 and then women special seats of 30 women mps and act- w will bring in another 60 seats and nominated special seats will another 20 seats...so in total the coalition of chadema and actw will bring in almost 200 mps which will be better enough to run this country
Kama hata picha huioni, sina maoni zaidi.Haya lete maigizo yenu hapa, mnazani JF ni sehemu ya propaganda za kichovu Kama hizi. 28/10/2020 mapema tu asubuhi. Nafuraha Sana baada ya kugundua kwamba tume imetenga kila kituo kuwa na wapiga kura wasiozidi mia tano. Kwa idadi hii nadhani saa6 sita mchana wapiga kura watamaliza shuguli kwahiyo tutanza kupata majibu ya madiwa na ubunge fasta. Nadhani na kura za Urais mapema sana
Nyie wafasi wake ndio mnajishitukia na wakili wenu .... Nchi haiwezi kwenda kwa msaliti kakojoe ulale wewe bado mtoto ..... JPM ndiye mzalendo wa kweli subiri tarehe 28/10/2020 huyo boya wenu na kuchechemea kwake arudi akaemdeleee kuwaabudu mabeberu ...... HAITAKUJA KUTOKOEA HUYO FALA KUSHINDAKama hashindi mnahangaika nae wa nini?
.Hakuna Mtanzania atampigia kura msaliti wa Nchi
Rais Magufuli na Ccm ushindi ni 98,
Subiri tumnyooshe naona nawewe hupendi yanafanywa nahuyu jamaa ilatatizo haupo huruTatizo watanzania ndio wameshampenda japokuwa kwa uchunguzi wako umegundua mapungufu hayo. Umeona mahaba yale makubwa Sana Sasa sijui utafanyaje ndugu. Kwasababu anakwenda kuchukua kura nyingi za Watanzania.