Itakuumiza/itakusikitisha: Ukahaba wa Tabora

Itakuumiza/itakusikitisha: Ukahaba wa Tabora

Mikoa ambayo Elimu iko chini na Dini ya kiislamu ipo Kwa wingi inaongoza sana Kwa ukahaba
1.Dar
2.zanzibar
3.Mtwara
4.Tabora
5.Ruvuma
6.kigoma
NB : tuweke udini pembeni tusimame kwenye hoja maana Mimi mwenye ni muumini wa Dini ya kiislam ila nimejarib kuchunguza sana Kwa Nini ipo hivi nakosa majibu

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu sisi hatuna muda wa kupatanisha,hii ni vita unaitafuta japo ulichosema ni kweli
 
Na kwa kuongezea tu ni kwamba so long as WATEJA wa hiyo bidhaa wako ndani ya jamii hiyo hiyo (wengine si ajabu wako humu humu JF) tunapoteza muda tu kujadili na ukahaba hautakuja uishe.
Ni mwanaume gan hajawahi kutomba malaya awe wa kwanza kunyooosha kidole juu[emoji3516][emoji3516][emoji3516]
 
Uko sahihi lakini umehukumu kwa ujumla Jumla tu.

Japo wapo wengi wanaofanya kwa ajili ya umasikini lakini asilimia kubwa sana ya makahaba mijini na vijijini wanafanya ukahaba kwa msukumo wa Tamaa na factors nyingine nyingi ikiwemo tatizo la afya ya Akili.

Na pia uwepo wa wateja kuwa mkubwa wenye utayari wa kutoa chochote kupata kitu sehemu yoyote.

Wateja hawa ni sehemu ya jamii ya kiume na wengine wengi ni ndugu zao.

Jamii hii ya kiume iliyopaswa kuwa walinzi na viongozi wa mabinti hao leo hii ndio wamekua wateja wao katika jambo ambalo walipaswa kulikemea na kulilaani mbali kabisa na jamii zao.

Kinachoonekana sasa ni matokeo yatokanayo na aina ya jamii zinazojenga taifa hili, ikiwemo jamii yangu na yako pia.
Umefunga mjadala. Tulifanyie kazi kama wanajamiii👍👍👏👏👏
 
Ukahaba hautakuja uishe au ukomeshwe. Tangu enzi za Yesu Makahaba walikuwepo. Serikali itatishia itafanya ifanyavyo lakini kumzuia mtu mwenye kitu chake asikiuze na kipo ndani ya mwili wake ni vigumu mno! Unaweza kuilaumu Serikali Bure tu.

Na issue sio ugumu wa maisha, wengine hata ukiwapa mtaji bado tu wataendelea ni tabia ipo kwenye damu.
Ugumu wa maisha ndio chanzo. Unampa mtaji mtu asiekua na background yoyote ya biashara unategemea nini? Biashara sio mtaji tu
 
Mikoa ambayo Elimu iko chini na Dini ya kiislamu ipo Kwa wingi inaongoza sana Kwa ukahaba
1.Dar
2.zanzibar
3.Mtwara
4.Tabora
5.Ruvuma
6.kigoma
NB : tuweke udini pembeni tusimame kwenye hoja maana Mimi mwenye ni muumini wa Dini ya kiislam ila nimejarib kuchunguza sana Kwa Nini ipo hivi nakosa majibu

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Sema wewe ni mjinga, nenda Bukoba kwa wahaya, Manyara kwa Wairaq, Arusha , Moshi ,Ukahaba uko wa kutosha
 
Straight to the point;-

1. Tabora ni Mkoa pekee ambao mabinti wengi hufanya ukahaba huku wakiwa na umri wa kati ya miaka 11-17 (mabinti hao ni wengi sana mkoani hapa).

2. Mimba za utotoni zipo nyingi sana katika mkoa huu. Hapa utakuta binti wa chini ya miaka 17 au 18 ana watoto wawili mpaka watatu.

Hapa Tabora naona ni kama familia nyingi zimeyaruhusu haya mambo yafanyike, Jamii pia imeyapitisha na Serikali imeyaridhia/imekubalina nayo.
Ukahaba ulikuwepo kabla ya Yesu Kristo na baada ya Yesu Kristo upo Ulaya,Amerika,Afrika,Asia na 🌏 yote .Usishangae ya Tabora.
 
Mnafiki tu huyo,
Tabora kwa sasa ipo na waha, wasukuma na wanyamwezi, ingawa wanyamwezi Asilimia kubwa wapo pembezoni hasa sikonge, kaliua, usule, inala, magiri uyui, zega, umanda na magengati.

. Kitu kilicho pale au sifa kuu ni watoto kulelewa na mzazi mmoja.
Wanao lelewa na mzazi hasa mzazi wa kike ndio wenye kadhia hio ya umalaya tena ruksa ili walete riziki nyumbani
 
Sema wewe ni mjinga, nenda Bukoba kwa wahaya, Manyara kwa Wairaq, Arusha , Moshi ,Ukahaba uko wa kutosha
Asante Kwa ujinga wangu ila kama umeizunguka Tanzania una haki ya kuniita mjinga ila Kama una sababu binafsi tu ficha uchi wa akili yako huwezi kufananisha shivaa -arusha, au moshi- malindi au dar street na oxygen Tabora au lacantabuli au lachazi Ruvuma au Emirates Makambako tatizo lako hutembei na kujionea uhalisia nenda mkuranga pwani utaona watoto wadogo wanavofanya ukahaba au nenda masasi mtwara ukaone ukahaba Kwa watoto hapo sijazungumzia Tanga pazuri au pangan watoto wanavoolewa bado wadogo nenda Moro goro mazimbu B na Miata ya mzumbe kule hili ni swala la kukemewa na jamii yote na Dini zote inapofika stage ukahaba unafanywa n watoto ujue Taifa linapotea

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa na nshu km hizi next time tafuta mwandishi mzuri akuandikie,Swala km hili linahitaji makala ndefu kuelezea baada ya kufanyika utafiti wa kina juu ya vyanzo vya hayo na suluhisho lake
 
Nimekaa Dodoma, sikuwahi kuona issue ya aina hii. Hivi ni vitoto vidogo sana
Wee badoooo, hebu kazungukie huko Chang'ombe, Area A alafu urudi kujisahihisha. Mabinti wa Kirangi wanagawa sana *nyuchi zao hapo. Ukipanda daladala za Chang'ombe shuka Stendi ya Zamani(Gwasa), alafu tembea hadi Karachi ukiona vitoto vidogo vinavouza papa uje kuandika uzi mwingine tena.
 
Mikoa ambayo Elimu iko chini na Dini ya kiislamu ipo Kwa wingi inaongoza sana Kwa ukahaba
1.Dar
2.zanzibar
3.Mtwara
4.Tabora
5.Ruvuma
6.kigoma
NB : tuweke udini pembeni tusimame kwenye hoja maana Mimi mwenye ni muumini wa Dini ya kiislam ila nimejarib kuchunguza sana Kwa Nini ipo hivi nakosa majibu

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Ongeza TANGA kwa Wanguu. Ukijua Togola na Mbuli Zedi tu ushamkamata
 
Asante Kwa ujinga wangu ila kama umeizunguka Tanzania una haki ya kuniita mjinga ila Kama una sababu binafsi tu ficha uchi wa akili yako huwezi kufananisha shivaa -arusha, au moshi- malindi au dar street na oxygen Tabora au lacantabuli au lachazi Ruvuma au Emirates Makambako tatizo lako hutembei na kujionea uhalisia nenda mkuranga pwani utaona watoto wadogo wanavofanya ukahaba au nenda masasi mtwara ukaone ukahaba Kwa watoto hapo sijazungumzia Tanga pazuri au pangan watoto wanavoolewa bado wadogo nenda Moro goro mazimbu B na Miata ya mzumbe kule hili ni swala la kukemewa na jamii yote na Dini zote inapofika stage ukahaba unafanywa n watoto ujue Taifa linapotea

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Mimi nimeishi Manyara, Arusha, Bukoba, Njombe, Mbeya huwezi nidanganya, ukahaba kwa watoto kuanzia wa sekondari uko kila mahali, nenda makete uone vibinti vya sekondari vinavyobugia ARV's, tena bora hata mikoa ya pwani mabinti wanaolewa. Huko kwingine ndoa hamna, ni umalaya kwa kwenda mbelle
 
Back
Top Bottom