adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
Sijawahi kuona uzi wa Machimbo ya BabyCare.ghafla uzi umegeuka kuwa wa machimbo Tabora, safi sana
Sijawahi kuona uzi wa Machimbo ya BabyCare.ghafla uzi umegeuka kuwa wa machimbo Tabora, safi sana
😂 😂 😂 😂Sijawahi kuona uzi wa Machimbo ya BabyCare.
Ugumu wa maisha ndio chanzo cha ukahaba..
Ukifuatilia kinachofanya jamii ikose nguvu ya kusimamia maadili ni Umasikini na ELIMU
kwa kihiyo kuaddress hili tatizo katika jamii zetu, tungeanzia hapo.
Chanzo ni umaskini wa wazazi na tabia mbovu za wazazi.
Kama mama ni kahaba na baba naye ndio wale wanywa gongo, mtoto lazima awe kahaba.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Ukahaba hautakuja uishe au ukomeshwe. Tangu enzi za Yesu Makahaba walikuwepo. Serikali itatishia itafanya ifanyavyo lakini kumzuia mtu mwenye kitu chake asikiuze na kipo ndani ya mwili wake ni vigumu mno! Unaweza kuilaumu Serikali Bure tu.
Na issue sio ugumu wa maisha, wengine hata ukiwapa mtaji bado tu wataendelea ni tabia ipo kwenye damu.
Ukiwakataza ukahaba umejipangaje kuwahudumia?
Ukahaba uko mikoa yote, na hapo Tabora (Kanyenye na kule Kilimanjaro bar) ukahaba umeshamiri miaka ya karibuni tu.
Kuna mikoa mingine kama Shinyanga upo kitambo sana.
Wazazi wanasemajeIssue ni miaka Ndugu. Hawa mabinti ni wadogo sana sana. Inaumiza sana
Kuna uzi upo humu jamaa anasema "sirudi kanyenyee,hatakaa apasahau"alikula mama na mabinti zake wote na mbaya zaid walikua wanajuana [emoji3][emoji3]Kanyenye pameoza, uwepo wa vyuo vya kati umechangia pakubwa.
Majira ya jioni pale rough road hugeuka kuzimu.
Kuna uzi upo humu jamaa anasema "sirudi kanyenyee,hatakaa apasahau"alikula mama na mabinti zake wote na mbaya zaid walikua wanajuana [emoji3][emoji3]
Hahahaha jamaa anakwambia mama baada ya kugundua mshikaji anawatafuna wanae mama akaenda extra mile akawa anampa mshikaji tako na kumwambia wewe si umeamua ututafune wote [emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha niliwahi kuusoma, kanyenye ukifika mchana huwezi jua nini kinaendelea ila usiku ni takataka.
Sio kweli man, kumbe wewe utakua mgeni mboka. Skuizi kijiwe kipya cha kum@ za kupima ni TerexHuwa wanajikusanya sana pale Oxygen lounge (O2 lounge)
Ila Karatu pia inatisha mkuu, vibinti vinapigwa pipe vikiwa na umri mdogo sanaUtakuwa unaongelea Karatu wewe umesahau na kusema Tabora
Nadhani mikoa yote Tz vinginevyo toa figure kuthibitishaStraight to the point;-
1. Tabora ni Mkoa pekee ambao mabinti wengi hufanya ukahaba huku wakiwa na umri wa kati ya miaka 11-17 (mabinti hao ni wengi sana mkoani hapa).
2. Mimba za utotoni zipo nyingi sana katika mkoa huu. Hapa utakuta binti wa chini ya miaka 17 au 18 ana watoto wawili mpaka watatu.
Hapa Tabora naona ni kama familia nyingi zimeyaruhusu haya mambo yafanyike, Jamii pia imeyapitisha na Serikali imeyaridhia/imekubalina nayo.
Ni mashetani, sipendi upuuzi na malaya mm.Salama kiafya au sio? Vipi Usalama wao kiroho?
Ni kweli usemecho mkuu, tuendako si kuzuri. Tabora haikuwa hivyoKanyenye pameoza, uwepo wa vyuo vya kati umechangia pakubwa.
Majira ya jioni pale rough road hugeuka kuzimu.
Au sioMnafiki tu huyo,
Tabora kwa sasa ipo na waha, wasukuma na wanyamwezi, ingawa wanyamwezi Asilimia kubwa wapo pembezoni hasa sikonge, kaliua, usule, inala, magiri uyui, zega, umanda na magengati.
. Kitu kilicho pale au sifa kuu ni watoto kulelewa na mzazi mmoja.