MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,978
- Thread starter
- #81
Rhetorical question this one?Duh kwa hiyo sasa hivi hawapo tena huko Tabora?
Rhetorical question this one?Duh kwa hiyo sasa hivi hawapo tena huko Tabora?
Wakongwe wa hapo Tabora na sio wa hapa Tabora! [emoji848]. Taarifa zako haziko sahihi kabisa.. Sisi ni wakongwe wa hapo tabora,
Au sioHalafu ukimuuliza ni mkali. Hiyo Isevya anayoisema sijui ni ipi. Maana isevya bar yenye malaya wengi ni moja tu, kule keepleft. Pia naona kama ana Amplify hili suala. Miaka 11!!
Kiongozi kutokana na kazi zangu hizi, Tabora bado nipo sana tu...Wakongwe wa hapo Tabora na sio wa hapa Tabora! [emoji848]
Una muda gani haupo hapa Tabora?
Au terraceIssue ni miaka Ndugu. Hawa mabinti ni wadogo sana sana. Inaumiza sana
Niliwahi kuja kupiga kozi kalunde mara nyingi nilitembelea sana isevya wanapaita mitamba, pia terrace na Serengeti mjini kule unayoyasema ni KWELI.Ipuli, ISEVYA, Uledi ...kotekote. Na nimepata za chini ya kapeti ya kwamba kuna mtu huwalangua na kuwapeleka Dar kufanya ukahaba!
Mitamba ikifika saa 4 panaanza kuwa peupe. Ukiniambia terrace na Serengeti nitakuelewa. Nazo haziko isevya.Niliwahi kuja kupiga kozi kalunde mara nyingi nilitembelea sana isevya wanapaita mitamba, pia terrace na Serengeti mjini kule unayoyasema ni KWELI.
Wapi umesoma.. Umoja?Hapo nmesoma advance, vijana walikuw wananunua sana
Nami nimekaa pale mwaka 1 na miezi 6Sema Tabora kukame sana, nimekaa Igunga, kipindi cha kilimo ni kukame sana, hela hamna kabisa, mpaka wakati wa mavuno.
Igunga day broWapi umesoma.. Umoja?
Kimboka ushawahi fika? Usichanganye KIMBOKA na MBOKA
Ukahaba tabora ni jadiStraight to the point;-
1. Tabora ni Mkoa pekee ambao mabinti wengi hufanya ukahaba huku wakiwa na umri wa kati ya miaka 11-17 (mabinti hao ni wengi sana mkoani hapa).
2. Mimba za utotoni zipo nyingi sana katika mkoa huu. Hapa utakuta binti wa chini ya miaka 17 au 18 ana watoto wawili mpaka watatu.
Hapa Tabora naona ni kama familia nyingi zimeyaruhusu haya mambo yafanyike, Jamii pia imeyapitisha na Serikali imeyaridhia/imekubalina nayo.
Aisee Tabora is too much.....yaani is like hawana kitu kingine cha kufanya nje ya ngonoUkifuatilia kinachofanya jamii ikose nguvu ya kusimamia maadili ni Umasikini na ELIMU
kwa hiyo kuaddress hili tatizo katika jamii zetu, tungeanzia hapo.
Combination ya Waha, wanyamwezi, wasukuma, wafipa you can easily tell the Tale.Issue ni miaka Ndugu. Hawa mabinti ni wadogo sana sana. Inaumiza sana
Mikoa ambayo Elimu iko chini na Dini ya kiislamu ipo Kwa wingi inaongoza sana Kwa ukahaba
1.Dar
2.zanzibar
3.Mtwara
4.Tabora
5.Ruvuma
6.kigoma
NB : tuweke udini pembeni tusimame kwenye hoja maana Mimi mwenye ni muumini wa Dini ya kiislam ila nimejarib kuchunguza sana Kwa Nini ipo hivi nakosa majibu
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Karatu ipi unazungumza mkuu kwasabu hii tatizo lakila mahaliUtakuwa unaongelea Karatu wewe umesahau na kusema Tabora
Na kwa kuongezea tu ni kwamba so long as WATEJA wa hiyo bidhaa wako ndani ya jamii hiyo hiyo (wengine si ajabu wako humu humu JF) tunapoteza muda tu kujadili na ukahaba hautakuja uishe.Ukahaba hautakuja uishe au ukomeshwe. Tangu enzi za Yesu Makahaba walikuwepo. Serikali itatishia itafanya ifanyavyo lakini kumzuia mtu mwenye kitu chake asikiuze na kipo ndani ya mwili wake ni vigumu mno! Unaweza kuilaumu Serikali Bure tu.
Na issue sio ugumu wa maisha, wengine hata ukiwapa mtaji bado tu wataendelea ni tabia ipo kwenye damu.
Ukahaba ndio biashara kongwe duniani. Wanachofanya Tabora hakuna jipya. Wakongwe hatustuki labda ungesema huduma za Tabora zipo chini ya kiwango ungeeleweka na WadauUkahaba upo mikoa yote
Hivi hio karatu mnayosemeaga ni ipi,hamna sehemu naonaga ngumu kupata malaya kama karatu?![emoji848]Ila Karatu pia inatisha mkuu, vibinti vinapigwa pipe vikiwa na umri mdogo sana