Itakuumiza/itakusikitisha: Ukahaba wa Tabora

Itakuumiza/itakusikitisha: Ukahaba wa Tabora

Hii ndio dunia ya ubepari tuliyokuwa tunaitaka, Hii ndio dunia ya Wabeijing, Hii ni dunia ya kila kitu bidhaa.
Ila anayesema Pwani kuna Umalaya kushindwa kanda ya ziwa akapimwe akili, sio shinyanga tu au Geita ila kila center watu wanajiuza na mambo shwari.

iwe regulated bila hivyo hali itazidi kuwa mbaya
 
Kwa nchi kama yetu haikuwa na haja ya kuwa na malaya wengi
Shida ni maarifa tu ya maisha, hii nchi ina kila kitu na bado haijabanwa na watafutaji wa kimataifa, wahamiaji
Elimu yetu haina maarifa baada ya kuhitimu, yaani ukihitimu elimu ya bongo unabaki na ujinga wako, bahati mbaya unajikuta kwenye kazi bila kutarjia yaani kiujanja ujanja tu
Au umezaliwa na akili zako tu za utafutaji, ndivyo tunavyoishi wabongo wengi
Ndo maana ajira nyingi ua zinawaangukia wageni, na wengine hata awajamaliza hata darasa la tatu ndio walioshika utajiri wa nchi hii
Mafisadi na viongozi ndio wenye vipesa vya kuvuruga mjini wengi ufa mapema baada ya kuachishwa kazi au kustahafu(tuelewane sio wote ila ni wengi zaidi)
Ufa sababu walijikuta kazini bahati mbaya, na wakitoka uko wanakuwa hawana maarifa ya maisha
Sasa basi tujiulize hawa mabinti tunaujasiri gani kuwanyooshea vidole ihali waliotuongoza hawajawapa elimu ya kuwasaidia pindi amalizapo kupoteza muda katika elimu ya kusoma na kukopy?
 
Wee badoooo, hebu kazungukie huko Chang'ombe, Area A alafu urudi kujisahihisha. Mabinti wa Kirangi wanagawa sana *nyuchi zao hapo. Ukipanda daladala za Chang'ombe shuka Stendi ya Zamani(Gwasa), alafu tembea hadi Karachi ukiona vitoto vidogo vinavouza papa uje kuandika uzi mwingine tena.
Au sio
 
Hutu tutakuwa hatuna gono, wale wa lubumbashi bar ubungo wamechoka sana, wana gono kaswende uti,
Ni HATARIIII,
OGOPAAA, JIDANGANYEEE!!!
oar2.jpg
 
Back
Top Bottom