Itakuumiza/itakusikitisha: Ukahaba wa Tabora

Itakuumiza/itakusikitisha: Ukahaba wa Tabora

Ukahaba hautakuja uishe au ukomeshwe. Tangu enzi za Yesu Makahaba walikuwepo. Serikali itatishia itafanya ifanyavyo lakini kumzuia mtu mwenye kitu chake asikiuze na kipo ndani ya mwili wake ni vigumu mno! Unaweza kuilaumu Serikali Bure tu.

Na issue sio ugumu wa maisha, wengine hata ukiwapa mtaji bado tu wataendelea ni tabia ipo kwenye damu.
 
Kwa sisi wenye mabinti wa umri kama huo, inaumiza sana sana

Na cha ajabu wateja ni wababa wazima kabisa...na tena Wana miili mikubwa kabisa. Wanakatiza nao mtaani...Serikali , Jamii,..zipo tu...na hakuna kitu o-ote inafanyika stakafirura shetwan rajuni!!!
 
Ukahaba hautakuja uishe au ukomeshwe. Tangu enzi za Yesu Makahaba walikuwepo. Serikali itatishia itafanya ifanyavyo lakini kumzuia mtu mwenye kitu chake asikiuze na kipo ndani ya mwili wake ni vigumu mno! Unaweza kuilaumu Serikali Bure tu.

Na issue sio ugumu wa maisha, wengine hata ukiwapa mtaji bado tu wataendelea ni tabia ipo kwenye damu.
BASI umri uangaliwe kama mmeyaruhusu hayo. Mbona kwenye pombe mmeweka vigezo?
 
Ukahaba uko mikoa yote, na hapo Tabora (Kanyenye na kule Kilimanjaro bar) ukahaba umeshamiri miaka ya karibuni tu.

Kuna mikoa mingine kama Shinyanga upo kitambo sana.
Ila Shinyanga umewasingizia Mkuu. Shinyanga ni mkoa àmbao wanaofanya ukahaba pale mjini wengi ni wahamiaji wasaka fursa. Asilimia zaidi ya 70% ya Makahaba wa Shinyanga si wazawa tofauti na Tabora na Singida ambako watoto wa nyumbani ndio wahusika wakuu.
 
Back
Top Bottom