Itakuumiza/itakusikitisha: Ukahaba wa Tabora

Straight to the point;-

1. Tabora ni Mkoa pekee ambao mabinti wengi hufanya ukahaba huku wakiwa na umri wa Kati ya miaka 11-17. (Mabinti hao ni wengi sana mkoani hapa)

2. Mimba za utotoni zipo nyingi sana katika Mkoa huu. Hapa utakuta Binti wa chini ya miaka 17 au 18 ...ana watoto wawili mpaka watatu.

Hapa Tabora, naona ni kama familia nyingi zimeyaruhusu haya mambo yafanyike, Jamii pia imeyapitisha na Serikali imeyaridhia/ imekubalina nayo.
. Taarifa zako haziko sahihi kabisa.. Sisi ni wakongwe wa hapo tabora,
 
Straight to the point;-

1. Tabora ni Mkoa pekee ambao mabinti wengi hufanya ukahaba huku wakiwa na umri wa kati ya miaka 11-17 (mabinti hao ni wengi sana mkoani hapa).

2. Mimba za utotoni zipo nyingi sana katika mkoa huu. Hapa utakuta binti wa chini ya miaka 17 au 18 ana watoto wawili mpaka watatu.

Hapa Tabora naona ni kama familia nyingi zimeyaruhusu haya mambo yafanyike, Jamii pia imeyapitisha na Serikali imeyaridhia/imekubalina nayo.
Cc.Waziri mwenye dhamana.
Tafadhali ukaliangalie na hili.
With regards
 
Straight to the point;-

1. Tabora ni Mkoa pekee ambao mabinti wengi hufanya ukahaba huku wakiwa na umri wa kati ya miaka 11-17 (mabinti hao ni wengi sana mkoani hapa).

2. Mimba za utotoni zipo nyingi sana katika mkoa huu. Hapa utakuta binti wa chini ya miaka 17 au 18 ana watoto wawili mpaka watatu.

Hapa Tabora naona ni kama familia nyingi zimeyaruhusu haya mambo yafanyike, Jamii pia imeyapitisha na Serikali imeyaridhia/imekubalina nayo.
Ukifuatilia kwa karibu ukahaba ni matokeo ya umasikini,hivyo hawa wa Tabora wanawaruhusu watoto wao watumie raslimali zao ili wasife na njaa
 
Straight to the point;-

1. Tabora ni Mkoa pekee ambao mabinti wengi hufanya ukahaba huku wakiwa na umri wa kati ya miaka 11-17 (mabinti hao ni wengi sana mkoani hapa).

2. Mimba za utotoni zipo nyingi sana katika mkoa huu. Hapa utakuta binti wa chini ya miaka 17 au 18 ana watoto wawili mpaka watatu.

Hapa Tabora naona ni kama familia nyingi zimeyaruhusu haya mambo yafanyike, Jamii pia imeyapitisha na Serikali imeyaridhia/imekubalina nayo.
Shetani amepita,
 
Halafu ukimuuliza ni mkali. Hiyo Isevya anayoisema sijui ni ipi. Maana isevya bar yenye malaya wengi ni moja tu, kule keepleft. Pia naona kama ana Amplify hili suala. Miaka 11!!
Mnafiki tu huyo,
Tabora kwa sasa ipo na waha, wasukuma na wanyamwezi, ingawa wanyamwezi Asilimia kubwa wapo pembezoni hasa sikonge, kaliua, usule, inala, magiri uyui, zega, umanda na magengati.

. Kitu kilicho pale au sifa kuu ni watoto kulelewa na mzazi mmoja.
 
Straight to the point;-

1. Tabora ni Mkoa pekee ambao mabinti wengi hufanya ukahaba huku wakiwa na umri wa kati ya miaka 11-17 (mabinti hao ni wengi sana mkoani hapa).

2. Mimba za utotoni zipo nyingi sana katika mkoa huu. Hapa utakuta binti wa chini ya miaka 17 au 18 ana watoto wawili mpaka watatu.

Hapa Tabora naona ni kama familia nyingi zimeyaruhusu haya mambo yafanyike, Jamii pia imeyapitisha na Serikali imeyaridhia/imekubalina nayo.
Chezeya wanyamwezi wewe
 
Mimba za utotoni zipo nyingi sana katika mkoa huu. Hapa utakuta binti wa chini ya miaka 17 au 18 ana watoto wawili mpaka watatu.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom